vuta Picha Kuna Babu Alileta Habar za Hapa Na Pale Mkazinguana Akasema Ipo siku Atakupata... leo Wakat Unarudi Home Ndo Unakutana Nae Hapa~...... utafanya Nn???
Nurbet mbio sio swala la idadi, ni kasi uliyonayo hatakama watakuwa buku, utotoni nishafukuzwa na mbwa na hakuna aliye wahi nishika. nduki tu. na adrenaline inakusaidia hapo ha ha ha.
vuta Picha Kuna Babu Alileta Habar za Hapa Na Pale Mkazinguana Akasema Ipo siku Atakupata... leo Wakat Unarudi Home Ndo Unakutana Nae Hapa~...... utafanya Nn???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.