Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 190
Nidhamu kwani ni nini?
Nidhamu ni kutenda unalopaswa kutenda kwa wakati na kukiweka kila kitu mahali kinapostahili. Ukivalia suruali magotini ni kukosa nidhamu maana inastahili kuwa kiunoni n.k Kama alienda kwenye kikao ambacho yeye si mjumbe hata asingesema na kukaa juu ya meza ni kukosa nidhamu, na kuongea wakati mwingine anaongea ni utovu wa nidahamu n.k