Vurugu zatawala CHADEMA Tarime

Vurugu zatawala CHADEMA Tarime

Wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa na humuogopi Mungu unawezaje kusema kitu ambacho unaamini kwamba ni uongo uwanja wa sabasaba aliyetoa amri ya wavamizi kuondoka ni mwita gachuma Mnec akahidi kutoa pesa za ujenzi wa uwanja huo yeye na marafiki zake na wale wote waliokuwa wamevamia uwanja huo wamekubari kuondoka na majilani wamekubari kuachia sehemu walizomega ili uwanja wa kisasa ujengwa sasa hapa ccm imeingiaje lakini uwanja sabasaba ni mari ya watanzania wote wapenda michezo mbona umetumia neno KURYA huoni kwamba wewe ni mjinga mpenda ukabila kama kilivyo chama chenu nakuomba ukiombe ccm msamaha vingivyo nitakuona wewe ndiyo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!
 
Huyo Gachuma si ni CCM? hapo anajenga baadae utasiku huu uwanja unamilikiwa na Jumuia ya Wazazi ya CCM, Kama CCM inamiliki viwanja vya Mpira inashindwa nini kumiliki huo uwanja? Na ndo chama cha Siasa pekee kinacho miliki Viwanja vya Michezo hapa Duniani, Hata China ambapo bado kuna Chama Kimoja cha Kikomonist, hakimiliki viwanja vya Michezo vya China,
 
Ni eneo Halali la ccm acheni fitna

Wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa na humuogopi mungu unawezaje kusema kitu ambacho unaamini kwamba ni uongo uwanja wa sabasaba aliyetoa amri ya wavamizi kuondoka ni mwita gachuma Mnec akahidi kutoa pesa za ujenzi wa uwanja huo yeye na marafiki zake na wale wote waliokuwa wamevamia uwanja huo wamekubari kuondoka na majilani wamekubari kuachia sehemu walizomega ili uwanja wa kisasa ujengwa sasa hapa ccm imeingiaje lakini uwanja sabasaba ni mari ya watanzania wote wapenda michezo mbona umetumia neno KURYA huoni kwamba wewe ni mjinga mpenda ukabila kama kilivyo chama chenu nakuomba ukiombe ccm msamaha vingivyo nitakuona wewe ndiyo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!

tumwamini nani hapo nyie magamba?mshaiba tena kama jadi yenu.
 
Ndg kumbe wewe unawivu na ccm kumiriki viwanja si na chadema ina miriki kumbi za disco mbona hatusemi EBO au mkuki wa nguruwe!
 
hawa watu wanasumbua sana mimi ni mkazi wa TARIME nasikia kuna makundi yaliyogawanyika MOJA linaongozwa na MWENYEKITI WILAYA Anaejiita NGOTO na WENZAKE ambao wanatumiwa na mchungaji Maswi mdogo wake na Tajiri mmoja kwa jin GACHUMA ili wakivuruge CHADEMA ili kikose nguvu ili huyo tajiri agombee ubunge baadae mwaka 2015..... na kuna mlevi mmoja anajiita MWITA WEITARA ambae anatoa msaada kwa hao watu akijua kwamba wanamsaidia yeye kumpiganisha JOHN HECHE... NA kundi jingine ni lile linalopinga kuhujumiwa kwa chama linaloongozwa kijana mmoja anaejiita CHACHA HECHE mwenyekiti wa vijana wilaya na MCHUNGAJI NYAGABONA mjumbe kamati kuu taifa..........
 
Wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa na humuogopi Mungu unawezaje kusema kitu ambacho unaamini kwamba ni uongo uwanja wa sabasaba aliyetoa amri ya wavamizi kuondoka ni mwita gachuma Mnec akahidi kutoa pesa za ujenzi wa uwanja huo yeye na marafiki zake na wale wote waliokuwa wamevamia uwanja huo wamekubari kuondoka na majilani wamekubari kuachia sehemu walizomega ili uwanja wa kisasa ujengwa sasa hapa ccm imeingiaje lakini uwanja sabasaba ni mari ya watanzania wote wapenda michezo mbona umetumia neno KURYA huoni kwamba wewe ni mjinga mpenda ukabila kama kilivyo chama chenu nakuomba ukiombe ccm msamaha vingivyo nitakuona wewe ndiyo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!

Ni kawaida kwa wanaccm kukurupuka kwani hyo ni jadi yenu,huelewi ni eneo lipi linazungumziwa.
Mi nimetaja uwanja wamaonyesho sabasaba sasa sijui we unaongerea uwanja wa upi?jaribu kutumia akili kufkiri nna sio makario na ndio maana ccm mmekuwa mkiamini ya kwamba kila analotamka tajiri kuwa lifanyike nyie manaona kama ni kauri ya mungu acheni mawazo tegemez,eneo hilo liko nyuma ya jengo la sachita fm mkabara na marula mgahawa.
 
Wewe ni muongo tena mnafiki mkubwa na humuogopi Mungu unawezaje kusema kitu ambacho unaamini kwamba ni uongo uwanja wa sabasaba aliyetoa amri ya wavamizi kuondoka ni mwita gachuma Mnec akahidi kutoa pesa za ujenzi wa uwanja huo yeye na marafiki zake na wale wote waliokuwa wamevamia uwanja huo wamekubari kuondoka na majilani wamekubari kuachia sehemu walizomega ili uwanja wa kisasa ujengwa sasa hapa ccm imeingiaje lakini uwanja sabasaba ni mari ya watanzania wote wapenda michezo mbona umetumia neno KURYA huoni kwamba wewe ni mjinga mpenda ukabila kama kilivyo chama chenu nakuomba ukiombe ccm msamaha vingivyo nitakuona wewe ndiyo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa!

jaribu kuwa mwelewa japo hata kwa dakika moja japo ni desturi kwa wanaccm kufkiri kwa kutumia makario badala ya kichwa,eneo ninalosemea ni eneo la maonyesho sabasaba nyuma ya radio sachita fm mkabara na marula mgahawa,sjui hapa mwongo asye na aibu ni nani?ccm mmekuwa mkiamini kwamba kauri ya mwenye pesa ni kauri ya mungu kumbe ni njaa ndio zinawaperekea kuwa hivyo nani asyewajuwa kuwa nyie ni wezi wa mali za umma?majiz nyie ila iko sku mtaria na kusaga meno.
 
Mh.mboe tunakuomba ufke tarime, kwa mgogoro huu hatutabaki salama.
 
CCM Tarime yapora eneo la maonyesho ya sabasaba.

Katka hali ya maskitko makubwa chama cha mapinduzi kinaendereza sera yake ya kupora mali za umma bila hata kushirikisha umma.Eneo ambalo lilitengwa na kujengwa mabanda ya maonyesho na serkali kwa ajili skukuu za sabasaba, hivi sasa ccm wamejitwalia eneo hilo kinyemera na kuanza kuuza kwa matajiri,eneo hilo ambalo liko tarime mjini nyuma ya kituo cha radio sachita fm,naomba mawazo yenu kwa maslahi ya wanatarime.

Mkuu Kurya, huo ni mwendelezo wa sera yao ya kugwana mbao za mtumbwi ilkhali wapo katikati ya ziwa. Mimi binafsi sishangai kwani kuna post nimeisoma hapa JF inayohusu vigogo kupora viwanja vya UVCCM vilivyoko huko mtoni-Kijichi Dar es Salaam kwa madai kwamba tunako elekea hali yaweza kuwawia mbaya mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 ambapo hivyo viwanja vyaweza chukuliwa na chama kitakachokuwa kimekamata dola. Hii inadhihirisha wazi CCM inapumulia machine, kiasi ambacho imefikia kugawa urithi wake kwa kutumia kauli mbiu ya Chukua Chako Mapema kwa nguvu mpya, Ari mpya na kwa Kasi mpya kabla ya 2015.
 
Ama kweli threads zinazoanzishwa usiku mkubwa, nyingi zina utata!
 
Wajipange walipate hilo jimbo, katika uchaguzi wa 2010 mambo ndio yalimpa ushindi Nyambari Nyangwine. kura za CDM na CUF kwa pamoja zilikuwa ni nyingi sana kuliko za CCM.
 
peche peche nyiiiiiiiiiiiiiiingi, jaribu kuisuka vizuri hata iwe na mvuto kwa msomaji, ntaimalizia baadae nkipata mda kwa vile haina mashiko
 
Back
Top Bottom