Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

Inakuwa multi-front attack, ni mbinu mbaya ya medani. Makanisa, police, ccm, cdm. mmmmm?
Inaonekana bahari imchafuka, majini yanachapana.
 
Kwani wewe mungu wako ni yupi? Kwani shetani anakubali ubakaji wa watoto wadogo kama ule uliofanywa na viongozi wako kule Italia? Kama hili si la kishetani unaweza kusema pia.

mtu mmoja anaweza akafanya ushenzi ukasema mapungufu yake au shetani kamwingia yeye tu mfano mtt aliyekojolea kitabu, au padri aliye baka, au shekhe aliyempa mimba mtt wa madrasa nk. Lakini kundi la watu zaidi ya 100 livamie makanisa, vituo vya police, ofisi za ccm, wachome moto waibe vinanda, compyuta kanisani hapo ndipo tatizo lilipo. Maana ujinga wa kundi zima ni kielelezo cha ufahamu wao kwa kufanya kosa la kijinga kwa wakati mmoja, hapo pamna tatizo la shule na mapumgufu ya imani husika.
 
Jamani polisi bunduki mmeziweka wapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
mi nafikiri dini sio tatizo katika vurugu zote hii za kidini isipokuwa ni siasa chafu inayofanywa na watu wachache wanaotumia mwamvuli wa dini. kwa sababu ukicheza na imani za watu basi umeteka akili zao. tuwe makini sana. tutafika pabaya.
 
nchi hii serikali ni kama iko LIKIZO, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!

Bora ingekuwa likizo ndugu yangu tungekuwa na matarajio kuwa itarudi pale likizo itakapoisha. Kwa ujumla TANZANIA haina Serikali kwa sasa na inajiendesha kama jahazi lisilokuwa na nahodha
 
Hawa mafahali ndugu sio wawili tena kwenye zizi moja bali ni watatu, serikali, uamsho na jeshi la polisi. Zizi lishakuwa dogo.
 
Yaani Polisi anauwawa kwa kosa gani jamani?

mkuu hujui kosa?? jk anajua na kama ahajui basi serkali yake na intelejensia wananjua nini kifo cha polisi na bado maana wanakaa kwenye jamii ni rahisi sana kuuwawa wangekuwa wanakaa kwenye kambi zao hapo sawa lakini 80% wanakaa mitaani (changanyikeni)
 
Uamsho wanachukua sura ya Dini, lakini kiini chake ni siasa. PC aliyeuawa si Mwisilamu, na maskani zilizochomwa si za CCM Zanzibar - waislamu. Nadhani dini inatumika tu kubeba matakwa ya kisiasa. Hebu niambieni, iweje Muislamu akabomoe store ya bia kisha akimbie na chupa za bia au kreti zima la pombe! Kuna wenye ajenda ya kisiasa - wanaijua, na kuna wenye kudandia bila kujua - lakini wakataka kuganga njaa zao kwenye vurugu. Ndio maana wengi waliomo ni vijana, maskini hawana ajira wala ujira - wakiona vurugu wanaona heri, japo bia nitakunywa au n'tamuuzia Ahmada!
 
Sasa waislam kwa waislam hakika kuna shida kwani mbona jina la huyu askari kama muislam?mimi dini yangu inaniambia kuua ni dhambi!regardless ya kosa hata kama kaniulia mwanangu dini yangu hainiruhusu kuua,jamani tuwe waangalifu
 
Kwani wewe mungu wako ni yupi? Kwani shetani anakubali ubakaji wa watoto wadogo kama ule uliofanywa na viongozi wako kule Italia? Kama hili si la kishetani unaweza kusema pia.

Mkuu kumbuka ya leo kwa Waislam ni kawaida kwa kuwa ukatili ulianza zamani kwa Muhammad kuoa katoto kwa miaka 12 na kukaweka kinyumba kinguvu .Islam ni ukatili , ufedhuli .I am happy kuzaliwa mkristo nimekwepa laana kubwa
 
Sijui kesho itakuwaje IJUMAA. Naogopa kutoka

Wakristo wote tupo kwenye maombi na letu ni moja tu na ijulikane kwamba upo Mungu wetu,hakuna litakalo tokea kwa jina la Yesu,Psalm says,for he will command his angels concerning you,to guard you in all your ways,they will lift you up in their hands so that you wil not strike your foot against a stone,you will tread upon the lion and the cobra you wil trample the great lion and the sergent,thats our God and faith Psalm 91:11-13
 
Guys, that was not a mere policeman to me ,he was my uncle ,i am Muslim like any other,then you can imagine how these shitty bags effects everyone and everything ,you can guess right that these shitty sacks lacks sympathy of the the majority of us around here less some government officials who are too coward, too embarrassed to act sternly and accordingly!
RIP beloved uncle, we be missing you!
 
Back
Top Bottom