Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

wanaokuja huko ni wabongo wenzenu, wanaogopa kuchinjwa kama kuku, na wajitahd kuondoka laa siivo tuttamfata one by one
take care!!!

...vp kuhusu ma ami wa kipemba nao? manake hata wao ni waoga huenda hata kutuzidi sisi wabongo...si unakumbuka wengine walikuwa radhi wakafie somalia..na wamerudi juzi tuu!!! upuuzi wenu wa 1995..au...?
 
Hii sasa ni vita government iwafundishe hawa jamaa somo.

Serikali ipi? sina imani na serikali ya Jakaya... serikali gani inatishiwa na mtu kama sheikh Ponda na inanywea?..... the gorvernment is behind all this non sense
 
kwani polisi wao wanafikiri nini kuhusu waislamu?unapoambiwa hawa ni dini ya shetani wanafikiri kama utani vile watawachinja wote mkileta ushenzi ninyi mnajua kuua chadema na mwangosi tuu????unabunduki,unarisasi,unamabomu unamafunzo leo unachinjwa kama kuku kisa unaogopa kuzitumia kwasababu wao ni dini marais wa nchi hii!!polisi mwagia risasi mwilini hao mbwa wasiovaa chupi ila kanzu tu..watawaumiza na silaha mnazo shauri yenu

yametoka kichwani haya??
 
Zanzibar waachiwe wapumue, kuendelea kuwang'ang'aniza kwenye muungano ni kutengeneza mazingira ya Bosnia, chechenia ya yugoslavia ya bwana milocowic.
 
kwa tukio hilo utajua kuwa zanzibar si Udini zanzibar ni Siasa huo Udini ni kisingizio tu......
HIVI NDIVYO ALIVYOUWAWA KOPLO SAID ABDARAHMAN JUMA

Alikuwa akitoka kazini kwake Bububu majira ya saa 6 usiku akirudi kwake KIBWENI alipokuwa njiani ndipo alipovamiwa na vijana wa Uhamsho na kumkata mapanga shingoni kwa nyuma na kukata mishipa miwili kisha kumkata mikonon mpka kwny vdole....na miguu......
DUNIA NI GUNIA
Wakati watu hawa wakifanya mauaji yao wakiamini hakuna anayewaona kumbe kuna wazee 2 na vijana wapatao 3 wakishuhudia kila kitu lakin hawana la kufanya maana Uhamsho walkuwa na silaha.......Walikwenda mpaka barabarani wakakuta gari la polisi ambalo lilienda kubeba mafuta ni pamoja na mtoa Taarifa ya habari hii ndo uyo Askari kati ya hao niliyekuwa nae leo katka uwanja wa kisonge akimuadithia mzee mmoja nlyekuwa naye tukijadili mambo mbalimbali.Wale watu wakafika mpka pale lakini wakawa wanasita sita na kurudi nyuma nyakati nyngne kunya'ata uku wakijishauri ndpo wakamua kwenda na kusema'' jaman sisi ni Raia wema tu lazma tuseme hili kuna mwenzenu amekatwa katwa mapanga na kikundi cha Uhamsho wamemtupa kule wakionesha kwa ishara'' wale polisi wakaenda mpaka pale wakakuta katupwa karbu na maji machafu, akiwa amefunika na miti iliyokatwa hata ukipita uwez kujua kama kuna mtu...wakamchukua, wakamkuta anatoka mapande ya damu mdomon. Uwez kumtazama kwa jinsi alivyouwawa kikatili kumuangalia vzur wakagundua ameshinjwa nyuma ya shngo na hzo sehem nlzosema mwanzo. Huyu sidhani kama atapona aponi huyu'' haya n maneno wa askari aliyekuwepo pale na maneno yake yakawa kama dawa kwan walpompandisha kwenye gari apelekwe hospital papo papo roho ikaacha mwili....Askari huyu mtoa taarifa amesikitka sana na amesema tatzo haya mambo yanafumbiwa macho na serikali wanawalea hawa Uhamsho na akasema'' Afrika akutakiwa haki za binadamu 7bu Mwafrka lazma umendeshe Kiafrika hizo hak za binadamu n kwa wazungu 7bu wao wanaelewa huku watu hawaelew ndomana hta school kutolea vboko kumezdsha utovu wa nidham tofaut na zamn so hawa wanafanya hv wanajua hawawez kupgwa risasi et haki za binadamu haya mambo yatolewe ili tuendeshane kiafrika.........
 
Eti mnajadili , na nani? mtu ambaye hajui kuandika wala kusoma?? ni kirungu kama mwembe chai na pemba kipindi kile. Hiki kikundi ni kidogo sana sema kinapata suport kutoka serikalini tuu.
 
Kufuatia kutoweka kwa Sheikh Farid na wafuasi wake kuvamia na kuharibu Ofisi za CCM jana huko Zanzibar, usiku wa jana, wafuasi wa uamsho wamemuua kikatili PC Said alipokuwa akitoka kazini.

Source: TBC Asubuhi hii

My Take
Haya ndio matokeo ya kufumbia macho hiki kikundi cha Wanaharakati wa Kiislamu. Iliwahi kuhojiwa humu ndani, kwa nini Serikali inashindwa kufuta usajili wa Uamsho Zanzibar?

Je, kuvamiwa na kuharibiwa kwa Maskani za CCM, haonyeshi kuwa kikundi hicho ni cha Kisiasa kinachotumia dini?

Kufuta usajili wa Uamsho sio solution . Uamsho ni wanaharakati wa kiislamu ambao wanadai Zanzibar huru. Kuwepo au kutokuwepo kwa uamsho harakati hizi zitaendelea mpaka ZAnzibar iwe huru.
 
Kufuta usajili wa Uamsho sio solution . Uamsho ni wanaharakati wa kiislamu ambao wanadai Zanzibar huru. Kuwepo au kutokuwepo kwa uamsho harakati hizi zitaendelea mpaka ZAnzibar iwe huru.

Sasa kama wanadai haki ya Wazaanzi bar, kwanini kila wanapokwenda kufanya matukio lazima Waibe? Hawawezi kujidai wanatetea haki ya Wazaa Nzi Bar bila ya kuiba?
 
Naomba mnijuze, kwa nini baadhi ya dini zinakuwa zinapenda sana vurugu? Je, ni vitabu wanavyosoma? au shida na matatizo ya kiuchumi yanawafanya wawe vichaa 'fanatisim'? au ni mradi na ngazi ya kupata madaraka? ujinga na ulevi wa amani?

Angalizo: naomba tuswap uongozi kwa mwezi mmoja, Kagame aje huku na timu yake na Mh. aende Kigali 'tamka 'Chigali'
 
Sasa kama wanadai haki ya Wazaanzi bar, kwanini kila wanapokwenda kufanya matukio lazima Waibe? Hawawezi kujidai wanatetea haki ya Wazaa Nzi Bar bila ya kuiba?

Hayo ni matekeo ya serikali kusindwa kutatua kero ...Linapotokea vurugu ,waliokuwamo na wasiokuwamo wote huchanganyika.
 
Kufuta usajili wa Uamsho sio solution . Uamsho ni wanaharakati wa kiislamu ambao wanadai Zanzibar huru. Kuwepo au kutokuwepo kwa uamsho harakati hizi zitaendelea mpaka ZAnzibar iwe huru.
na baadae tutadai PEMBA HURU,TANGA HURU!na ijumaa iwe siku ya mapumziko kama ilivyo jumapili
 
Yaani sasa nchi imekuwa kama haina viongozi,sheria na kanuni zetu zilizotuongoza mpaka hapa ziko wapi,?Hapakuwa na udini na serikali haikuwa na dini.Ukiingia hata darasani sasa hivi kwenye shule za serikali utaona tofauti,mavazi ya kidini yameingizwa ndani na hata makundi yametengenezwa ya kuwagawa watu yanayochochewa na udini na matokeo yake tunapata kizazi ambacho kimejaa ubaguzi toka watoto wakiwa wadogo,mashuleni na kadhalika.Naoawona hata huku vyuoni wanajitenga na wenzao lakini matokeo yake wanafeli sana na kuanza kusingizia kuonewa.
 
Back
Top Bottom