Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

hiyo quote yako ya mwisho ndio tatizo lilipo kwenye dini ya uislam from the start,imejengwa kwenye kulipiza visasi na violence,..

Sasa tatizo liko wapi? Uislamu sio dini inayolea watu kuonea wenzao. We simply dont turn the other chick. If that is our crime, so be it.
 
Tatizo lipo kwa hao wazazi wawili elitakiwa wamalize hili swala kwa kuwakimia na kuwapa adhabu watoto wote wawili eli iwe fundisho kwa watoto wengine piya tuwafundishe watoto wetu majumbani maana ya kuvumiliana na kuheshimiana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hao watu wengine wamepata nafasi ya kufanya hicho walichokifanya kwa kuwa hawa wazazi wawili walikosa busara ya kumaliza hili swala kwa kuwakanya watoto wao wawe na heshima mbele za watu na imani za wengine
Isingekuwa rahisi kuyamaliza nyumbani kama mtoa mada anavyosema kuwa huyo mtoto alitumwa kumshawishi mwenzie akojolee huo msahafu.
 
Inawezekana wewe ndio wakala wa shetani ila hujijui tu! Mbona uzi huu umetulia sana? Umejaa hekima nyingi tofauti na pumba zako! Wewe ndo wale wale Boko Haram!

Msamehe bure huyo gagula hajijui hata anachoandika, yaelekea kakurupushwa usiku akiwanga amekuja kumalizia hasira zake huku. Ashindwe na alegee.
 
Wewe una werevu gani ilhali unaongea upuuzi, a reasonable man discusses a SOURCE and finds a reasonable solution 4 it and not the IMPACT.

Haya wewe uliye mwerevu mbona unabwabwaja badala ya kumsaidia mwenzako kujibu hoja zangu?
 
Jamani intelijensia ya polisi iko wapi kwenye hili? maana haingii akilini wahuni wanaotumia mwamvuli wa dini kuandamana mwendo mrefu kwenda polisi na baadaye kuchoma makanisa pasipo polisi kufika na kutuliza hali hii.
 
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.

ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.

'Islam is a religion of peace' then unasema 'Be warned' why should you be mshari namna hiyo? Khaa! Sijui ukoje wewe!
 
Ndio maana nikakwambia, waislamu wanaviheshimu vitabu vyote vitakatifu. Katu muislamu hawezi kunajisi kitabu kinachotaja majina ya mitume watakatifu.

ndio maana hata jina lako tu MGANGA WA KIENYEJI linapotray imani ya kishetani ulioshikiria that why waganga wengi wa kienyeji na wapunga mapepo ni waislamu.

Uislamu ni kikwazo cha amani na maendeleo dunian kote.
 
KAMWE HAUTAKUJA KUSIKIA KIJANA WA KIISLAMU KUA AMEKOJELEA BIBLIA AU KUMTUSI YESU.

MIMI NIMESOMA MADRASA, TULICHOFUNDISHWA NIKUA UKIMTUKANA YESU, UMETOKA KATIKA UISLAMU. NA UKITUKANA VITABU VITABU VITAKATIFU, ZABURI, TAURATI, INJILI NA QUR-AN, UMETOKA KATIKA UISLAMU VILEVILE.

LAZIMA UELEWE, MUNGU WA ADAMU(A.S),NUHU(A.S), DAUDI(A.S), SULEIMAN(A.S),IBRAHIMU (A.S), MUSSA(A.S), AYOUB(A.S), ISSA (YESU)(A.S) N.K. NDIO MUNGU WA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NA WAISLAMU. HIVYO WAISLAMU WANAWAHESHIMU MANABII WOTE HAO. NA WOTE HAO, NI WAJUMBE NA MITUME WA MWENYEZI MUNGU. NA HAKUNA HATA MMOJA KATI YA HAO KUA YEYE NI MUNGU.

MUNGU NI MMOJA NA WALA SIO WATATU. MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA. WALA HANA MSHIRIKA KATIKA MILKI YAKE.

Hayo ndio mafundisho ya Uislamu.

Nashangaa kuona ume ni quote na kunijibu lakini kamwe haujajibu maswali yangu unazunguka tu..yawezekana kweli kijana wa kiislamu asikojolee wala kuchoma biblia hii sio sababu ya wewe kukwepa maswali haya. naomba unijibu..ila nakushukuru kwa kujibu kwa hekima na ustaarabu maana wapo walio dandia swali langu kwako na kujibu utumbo! nakuomba unijibu kuhusu hili !

Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?
 
we tutolee uwendawazimu wa nadharia za kiarabu humu kwa magreat thinkers!
Ebooo!
KWI KWI KWI KWI! WAISLAMU WANANIACHA MBAVU ZANGU ZINAHANG!! MALALA WAMEMPELEKA UK BAADA YA WAO WENYEWE KUMKOLIMBA, uk si ni kwa makafir jamani?? wangemtibu wenyewe, shule ZERO halafu wanashindana na watu wenye shule zao.
 
fahamu ukweli ya kuwa "ukimpokea yesu kuwa bwana na mwokozi wako utaokoka"

nawaombeni "mpokeeni yesu" utaokoka kimwili na kiroho. Hakuna uzima wa milele bila ya yesu.

Tuache jazba, chuki, tuache hasira, ugomzi sio utatuzi wa changamoto.

natamani wangekuelewa
 
Nashangaa kuona ume ni quote na kunijibu lakini kamwe haujajibu maswali yangu unazunguka tu..yawezekana kweli kijana wa kiislamu asikojolee wala kuchoma biblia hii sio sababu ya wewe kukwepa maswali haya. naomba unijibu..ila nakushukuru kwa kujibu kwa hekima na ustaarabu maana wapo walio dandia swali langu kwako na kujibu utumbo! nakuomba unijibu kuhusu hili !

Kwa hiyo we unaona ni sawa kuchoma makanisa,kuharibu mali kwa sababu ya kijana aliyekojolea msaafu? Kama ndivyo naomba ujibu kwa herufi kubwa kama ulivyoandika hapa.Je Mtoto/kijana au mwislamu ndani ya Tanzania hii akiichoma au kukojolea Biblia basi unaona ni sawa Wakristo wakibomoa misikiti na kuharibu mali za waislamu zitakazokuwepo misikitini kama magari n.k ?

kwao kilichofanyika ni sawa
 
Atakayevulia hadi mwisho ndiye atakayeokoka. Uganga wa kienyeji hautakiwi kupewa nafasi katika masuala ya imani yoyote. Ukiwa mganga wa kienyeji wewe huna imani yoyote ya MWENYEZI MUNGU!

Ngoja kwanza niende ANGAZA nitarejea, maana...........
 
Uvumilivu una kikomo waislamu wao waendelee tu kuwanyanyasa wakristo, soma vizuri mada ya mtoa mada ukiielewa vizuri hakuna sababu kuendelea na upole, unyenyekevu wakati kilichofanywa na mtoto wa miaka 14 kimefanywa zaidi ya hicho na watu wazima waliotoka msikitini na kuvamia kania la kkkt zakheim na kuchoma madhabahu na bibilia je tendo hilo ndiyo mafundisho ya uislamu? Siku zinahesabika
 
kuna jamaa yangu huwa anasema uislamu ni dini ya amani lkn tangu jambo hilo litokee amekua mnyonge saaana hata chai haji kunywa nami hapa ofisini anakaa tu peke yake anatafakari nilipomfuata leo aliniambia najisikia aibu kwa kuwa na imani moja na wendawazimu walochoma makanisa sijui hata nifanye nini ila ameniambia jumapili ijayo nimpitie twende kanisani maana ndipo kwenye upendo na mungu mwenye sifa nzuri!!!

uzushi na upuuzi mungu kila cku yupo sio j'pili tu jifikirie tena dini yako
 
we tutolee uwendawazimu wa nadharia za kiarabu humu kwa magreat thinkers!
Ebooo!

I see i have taken you to your last line of deffence. That we are used to. I hope next stop is the moderator to bann. You want to be free to say anything blasphemous about islam un answered. That pleasure is draining so fast away from you. Jifunzeni kujibu hoja kwa hoja sio matusi na uongo.
 
JINSI ULIVYO ANZA TU MAKALA YAKO, NI USHAHIDI KUA WEWE NI WAKALA WA SHETANI. Unataka kupandikiza hisia kua kuna watu wamebakwa na kunajisiwa. Kwa taarifa yako that is ANTI-ISLAMIC. WE MUSLIMS NEVER DO SUCH THINGS. LAKINI NI KAWAIDA YENU KUWACHOKOZA WAISILAMU HALAFU NA KUANZA KULIA LIA. MNAJAZWA CHUKI MAKANISANI KWENU MPAKA MNA WAHARIBU NA WATOTO WENU.

HEBU NITAJIE, NI KIJANA GANI AU MUISLAMU GANI, ULIWAHI KUMSIKIA AKI MKASHIFU YESU AU KUCHANA KITABU CHA BIBLIA.

WAISLAMU WANAJADILI KWA HOJA NA SIO KASHFA AU MATUSI AU UCHOKOZI.

HAKUNA MWIZI ANAEPIGANA WAKATI AKIFUKUZWA KWA SABABU DHAMIRA INA MSUTA. NDIO MAANA MNAPO TUCHOKOZA, MNATAHAYARI NA KULIA LIA TU.

HATA WAKIRSTO WENYE NIA NZURI, WAMEUNGANA NA SISI KULAANI KITENDO KILE.

BADALA YA KUHUBIRI DINI KATIKA MAKANISA YENU MNAHUBIRI CHUKI NA IBADA ZA MASHETANI. SIKU HIZI WACHUNGAJI WOTE WAMEKUA WAGANGA.

WAISLAMU HAWANA CHUKI NA WAKIRSTO AU WASIO KUA NA DINI WASIO WABUGUDHI WAISLAMU.

ISLAM IS A RELIGION OF PEACE. BUT IT DEFENDS ITSELF WHEN IT IS ATTACKED. WE MUSLIMS, NEVER TURN THE OTHER CHICK. BE WARNED.
HIVI NA WEWE UNAJIITA MUUMINI WA DINI YA KIISLAMU UNAYOTAKA TUAMINI NI YA AMANI? MBONA KAMA UNA DALILI ZOTE ZA WACHOMA MAKANISA AMBAO HAWATAKI KUAMBIWA WAMEFANYA KOSA BALI WANATAKA KUSIKIA LAWAMA ZOTE AKIBEBESHWA MTOTO ALIYEKOJOLEA KURANI? KWA HUYO ALIYETOA KURANI IKOJOLEWE YEYE HANA KOSA? NA ALIYETOA MADAI YA KUGEUKA NYOKA NA KUMWAPIZA MTOTO ALIYEKOJOA, JE HUONI KOSA LAKE? Cha muhimu Waislamu waliozingira kituoa cha polisi hawakuwa na sababu ya kufanya hivyo. Walipaswa kuacha dola ifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom