Huyo dada aliyeshikwa mkono na polisi ndiye Lucas Mwashambwa ??
Dada Lucas hajawahi kufika Dar aliishia Chalinze tu 😄Huyo dada aliyeshikwa mkono na polisi ndiye Lucas Mwashambwa ??
Lucas mwashambaDada Lucas hajawahi kufika Dar aliishia Chalinze tu 😄
Alafu itegemewe uchaguzi uwe wa haki na huru? Kama wanaibiana huko, wakishamaliza watashikamana kuiba za wapinzaniKatika video inayosamba katika mitandao ya kijamii kuna vurugu ambazo zimetokea katika kivule wakati kura za maoni ndani CCM zikiendelea leo Agosti 4, 2025.