Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Hawa machalii bana kwa hapo WOTE NI CHAMA CHA SIHASA imekuwaje mpaka sasa hakuna aliyepigwa na kitu chenye ncha?? Ngoja waje wazee wakozi kutoka mkoa jirani
Ni katika soko jipya la NMC iliyokuwa eneo wazi la mikutano ambalo juzi CHADEMA walipanga kufanya mkutano. KISA machinga waliokosa eneo wameanzisha fujo wanarusha mawe ni vurugu kubwa sana na sasa polisi wamefika wanajaribu kutuliza fujo. NITAUPDATE
.
Hapo kwenye red Mkubwa! Tunakusubiria!
waambie machalii wakimbie maana hawajamaa wanapasua tumbo na utumbo siku hizi! hawafaiiiiiiiii kabisa
Sina habari!Nchi haitatawalika hii.. Kikwete una habari?
Ni mtu mmoja tofauti.Arushaone na Arusha one ni watu wawili tofauti au? duh
Ni mtu mmoja tofauti.
Arushaone-kiwiliwili.
Arusha one-kichwa.
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa!haaaaaaaaaa!Bila shaka tunajuana!! Ha ha ha ha ha ha ha haaaa!!
Alafu asubuhi ya leo kama nilikuona kwa mbali pale maeneo ya METROPOLE?anyway mie nipo hapa maeneo fulani ya SAKINA,nipo na machalii but baada ya nusu saa hivi tutakua pale PICNIC tukilamba kichwa ya mbuzi chalii,kama vp utanibip ili nikupe offer ya nyama choma,maana nakujua wewe kwa nyama choma ni balaa tupu.Bila shaka tunajuana!! Ha ha ha ha ha ha ha haaaa!!
Naona umevuta cha umasaaini.......sasa kwani wewe ndio jk?Sina habari!
Alafu asubuhi ya leo kama nilikuona kwa mbali pale maeneo ya METROPOLE?anyway mie nipo hapa maeneo fulani ya SAKINA,nipo na machalii but baada ya nusu saa hivi tutakua pale PICNIC tukilamba kichwa ya mbuzi chalii,kama vp utanibip ili nikupe offer ya nyama choma,maana nakujua wewe kwa nyama choma ni balaa tupu.
Ha ha ha haaa!Mkubwa! Kwa muda ule pale nikuja kuchukua mtungi wa gesi! Na kwa muda huu nipo hapa NAROK PUB post na Kambi ya Fisi kwa juu kidogo kama unatokea Ngarenaro kuelekea Technical College!
Ukifika unipe PM! Ntakuona! Ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
Ha ha ha haaa!
Sasa leo seven seven huendi?si kuna BAKURUTU leo au?sie tutatia timu mitaa hiyo ya 7x7 mida ya saa 5 hivi.Kama vp tukutane kule basi ili tutafune japo mishikaki mkuu.