Vurugu kubwa Arusha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu kubwa Arusha!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arushaone, Sep 21, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Ni katika soko jipya la NMC iliyokuwa eneo wazi la mikutano ambalo juzi CHADEMA walipanga kufanya mkutano. KISA machinga waliokosa eneo wameanzisha fujo wanarusha mawe ni vurugu kubwa sana na sasa polisi wamefika wanajaribu kutuliza fujo. NITAUPDATE.  UPDATES: Vurugu zilizimwa na FFU.
  My take: Kuna haja ya mamlaka husika zikawa zinatoa maeneo kwa wale waliokusudiwa kwani ni dhambi na kuleta uvunjifu wa amani pale mnapoombwa kuhamia sehemu nyingine na mkifika mnakuta wamepewa/wameuziwa watu wengine kabisa ambao hawakuwa kwenye utaratibu wenu wa mgao na hujui ni wapi utaenda kufanyia biashara
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  waambie machalii wakimbie maana hawajamaa wanapasua tumbo na utumbo siku hizi! hawafaiiiiiiiii kabisa
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Arushaone jihadhiri usipigwe na kitu chenye ncha kali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. baba junior

  baba junior Senior Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole wana Arusha.
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ccm mpango mzima. Eti machalii wataichukia chadema kumbe ndio wameongeza mjadala.
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nchi haitatawalika hii.. Kikwete una habari?
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Fujo zimetulia mkuu?
   
 8. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280

  Blaki Womani mimi niko ofisini kwangu, huko sijui nikatafute nini bibie. Nway thank you for caring.
  Vipi ulifika salama last evening?:A S 465:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Ohh marejesho fujo nadhani zimepungua kwani mimi niko mbali kidogo na kule. Mzima wewe? Have a good and quality day.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hivi arusha tatizo ni washabiki wa chadema au watu wasio na ajira na wazururaji. Maana huu ni muda wa kazi. Nadhani walitakiwa wawe busy na shughuli zao halali za kujiingizia kipato. Then after hiyo vurugu au maandano kama jana watapata wapi hela ya kula au wana akiba ya kutosha?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  machalii wa a town bwanaaaaa
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .........maswali mengine ya kikupe kupe tuu !
   
 13. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  mmesahau kuwa kazi za kuingiza kipato ni pamoja na fujo japo si kazi halali, ukishangaa shangaa wanakusachi au kukunyang'anya chochote cha thamani ulichonacho. hasa simu
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Si mlikuwa mnaimba vijana wasio na ajira ni kama bomu, na kuahidi kutengeza ajira milion moja? - sasa bomu limelipuka!
   
 15. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Mimi niko poa,thanks Arushaone
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  nipo bomba namtumikia mkoloni ........uniPM ukienda kijiwe kipya lol
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Au kitu kizito kilichorushwa kutoka sehemu isiyojulikana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  nilidhani makengeza ni ya macho tu, kumbe yapo hata ya akili!!!
   
 19. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  hii dunia ina maajabu mengi
   
 20. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280

  kwani si umesikia ni wafanya biashara wadogowado au hizo sio kazi?
   
Loading...