GE2025 Vurugu Kata ya Upanga Magharibi – Dar, Mtia nia wa Udiwani ashambuliwa, Polisi waingilia kati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DodomaTZ

Senior Member
Joined
May 20, 2022
Posts
161
Reaction score
200

Saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Madiwani, vurugu zimetokea katika Kata la Upanda Magharibu Jijini Dar es Salaam ambapo mmoja wa Watia Nia amedaiwa kwenda kufanya vurugu kwa mpinzani wake.

Video inayosambaa Mtandaoni inamuonesha Mgombea Udiwani Khallil Karim akiwa anadaia kupigwa na mmoja kati ya watu kwa lengo kuwa aumie na ashindwe kushiriki katika Uchaguzi wa Jumatatu.

Inadaiwa kuwa Karim katika maelezo yake anadai Diwani ambaye anamaliza muda wake, Adnan kitwana Kondo ambaye pia ni mgombea katika uchaguzi utakaofanyika Jumatatu Agosti 4, 2025 anahusika katika kutengeneza mazingira ya yeye kujeruhiwa.

Kondo pia anaonekana katika video inayoonesha vurugu hizo aliwa na Katibu Kata, Salma Kibene.

Polisi walifanikiwa kufika eneo la tukio na kuwachukua watu wote waliohusika katika vurugu hizo, wakapelekwa Kituo cha Polisi Salenda ambapo wamehojiwa na kuachiwa huku wakipewa maelekezo ambayo bado hayajawekwa wazi.

Shuhudia mwenyewe video kuona kilichotokea.
 
View attachment 3430298

View attachment 3430299

View attachment 3430300
Saa chache kabla ya kufanyika kwa zoezi la Uchaguzi wa Madiwani, vurugu zimetokea katika Jimbo la Upanda Magharibu Jijini Dar es Salaam ambapo mmoja wa Watia Nia amedaiwa kwenda kufanya vurugu kwa mpinzani wake.

Video inayosambaa Mtandaoni inamuonesha Mgombea Udiwani Khallil Karim akiwa anadaia kupigwa na mmoja kati ya watu kwa lengo kuwa aumie na ashindwe kushiriki katika Uchaguzi wa Jumatatu.

Inadaiwa kuwa Karim katika maelezo yake anadai Diwani ambaye anamaliza muda wake, Kitwana Kondo ambaye pia ni mgombea katika uchaguzi utakaofanyika Jumatatu Agosti 4, 2025 anahusika katika kutengeneza mazingira ya yeye kujeruhiwa.

Taifa litapata faida kubwa haya maviumbe yakiuana yote
 
Kwa akili yangu nilijua uchaguzi wa Rais, Wabunge na madiwani unafanywa kwa pamoja.

Kumbe ukonga watafanya uchaguzi wa madiwani leo?
 
Heka heka hizi zinaarifiwa kutokea Upanga watu wakishikana mashati na kile kinachodaiwa kuwa ni kuelekea kesho upigaji wa kura za Udiwani na Ubunge.

Alafu unambiwa chadema na vyama vingine vya upinzani ndo vinavunjaga amani na utulivu

Leo chadema ambaye angekuwa mtuhumiwa mkubwa kwa hizi vurugu zao na policcm wangetoa matamko makubwa sana ya kuwakemea na kuwa sweka ndani

Ona sasa policcm wako kinya wana wapetipeti watu wanaovunga amani na utulivu, ila wanaopigania haki wamesweka ndani na kuzuiliwa kufanya siasa
 
Mungu endelea kuleta ile vurugu kama uliwaletea wale washenzi walioanza kujenga mnara wa babeli
 
Back
Top Bottom