carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Cancer hospital[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa leo inatosha, ngoja nibaki na mbavu zanguView attachment 716831
Hakuna ajabu hapo, google wima=vertical, haina tasfsiri ya mchamba. Kuna maneno na misemo. Misema ina maana yake ila haina tafsiri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mchamba Vertical duh
Au you are f@#dIt has eaten to you!
kaka wa kibo upo poa??Ni kama vile imechukua nafasi ya kamusi kwa wengi wetu kwakuwa si kila wakati tutabeba kamusi tutembee nazo... Uliza chochote kwenye Google utapata jibu... Ni mara chache mno Google kukosa jibu... Lakini sasa jibu utakalopewa si lazima liwe sahihi ama la utaishia kuvunjika mbavu kwa kucheka
Una kituko cha Google ulishawahi kukutana nacho kwenye tafsiri? Please share watu wapunguze stress View attachment 716682View attachment 716684
unajuaMiamia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaka kwenye ile post yako ya bandits in highway south Africa unajua tumempoteza mtanzania mmoja?Miamia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washing ass standing
I [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mimi, ni tafsiri ya google.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una utani wewe