Vunja mbavu lakini usicheke...........

Vunja mbavu lakini usicheke...........

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
kunaa jamaa mmoja huyoo kijijini kwao alikutana na simba uso kwa uso sasa hapohapo akapiga

magoti na kufumba macho akawa anaomba kwa mungu ili yule simba asi mle bac kama dakika tano

hivi kufungu macho akamuona na simba kapiga magoti nae anaomba >jamaa akaona duwa yake

imekubaliwa , akamuuliza yule simba kumbee na wee mcha mungu ? simba akajibu kwani kule kwenu


ukitaka kula huombi kwa mungu wako > bac unaambiwa jamaa kazimia hapo hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom