The Biggest IQ
Member
- Nov 24, 2010
- 54
- 3
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili wanaodhaniwa kuwa na nguvu yaani prof.mwandosya na sita ambao kama wakijitokeza wanaweza kusababisha CCM kujigawa ivyo kueuka hilo watamchua mtu kutoka zanzibar yaani nahodha.
kuthibitisha hilo ni kujiuliza nahodha ametolewa uwaziri kiongozi na kuletwa uwazuri wa mambo ya ndani bara lipi baya alikuwa amefanya zanzibar?hakuna ila wanataka kumjengea mazingira mazuri bara.
sababu ya pili ni ya kimuungano zaidi kuwa tangu mwinyi hakuna rais mwingine kutoka visiwani ameongoza muungano sasa wanaona umefika muda watoe nafasi hiyo nayo itakwenda kwa nahodha.
nawakilisha
Lakini haka kajamaa ni too short. Atakuwa the shortest presida in world's history.
nyanda nakwambia nahodha hafai hata kuwa mkuu wamkoa,huko zenj alipachikwa tu ktk uwaziri kiongozi hana sifa,pia kura zamaoni alikua mtu wa4,napia hajawahi kushinda ktk jimbo kihalali,mara zote anabwagwa na cuf,tena safari hii alipata asilimia 8 tu yakura akagomakusaini wenzie wakamwambia hutakiwi kubali yaishe,akatoa mbovu akasema hata shein hatakiwi shein akikubali kushindwa nami nakubali,wakachakachua akapewa,ngojen muone madudu atakayofanya hapo mambo yandani.Nahodha hata wamfanyaje hauziki bara. Kama kwao tu kwenye kura za maoni alibagwa mbali tu,huku ataweza kufurukuta? Tena 2015 vijana wapya (ambao walikua na umri kuanzia miaka 13 hadi 17 kabla ya tarehe 31 ya Octoba,2010) watapiga kura. Hao ndo hata muungano hawautambui kwani elimu ya uraia shule za msingi kwishnei.
Lakini haka kajamaa ni too short. Atakuwa the shortest presida in world's history.
Hivi unaota muwe mnakuja na habari zinazoendana na ukweli kama kakutuma mwambie akagombee kwenye nchi yake, kuanzia sasa hakuna mzanzibari atakayekuwa rais tanzania/tanganyika milele, kwanza ni zamu ya wakristo sasa. Kamtu kenyewe mdomo wa kuchonga asahau.nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.