The Biggest IQ
Member
- Nov 24, 2010
- 54
- 3
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili wanaodhaniwa kuwa na nguvu yaani prof.mwandosya na sita ambao kama wakijitokeza wanaweza kusababisha CCM kujigawa ivyo kueuka hilo watamchua mtu kutoka zanzibar yaani nahodha.
kuthibitisha hilo ni kujiuliza nahodha ametolewa uwaziri kiongozi na kuletwa uwazuri wa mambo ya ndani bara lipi baya alikuwa amefanya zanzibar?hakuna ila wanataka kumjengea mazingira mazuri bara.
sababu ya pili ni ya kimuungano zaidi kuwa tangu mwinyi hakuna rais mwingine kutoka visiwani ameongoza muungano sasa wanaona umefika muda watoe nafasi hiyo nayo itakwenda kwa nahodha.
nawakilisha