Vuai Nahodha rais 2015!

Nov 24, 2010
54
3
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili wanaodhaniwa kuwa na nguvu yaani prof.mwandosya na sita ambao kama wakijitokeza wanaweza kusababisha CCM kujigawa ivyo kueuka hilo watamchua mtu kutoka zanzibar yaani nahodha.
kuthibitisha hilo ni kujiuliza nahodha ametolewa uwaziri kiongozi na kuletwa uwazuri wa mambo ya ndani bara lipi baya alikuwa amefanya zanzibar?hakuna ila wanataka kumjengea mazingira mazuri bara.
sababu ya pili ni ya kimuungano zaidi kuwa tangu mwinyi hakuna rais mwingine kutoka visiwani ameongoza muungano sasa wanaona umefika muda watoe nafasi hiyo nayo itakwenda kwa nahodha.
nawakilisha
 
nawakilisha[/QUOTE]

Kwani ni takwa la kikatiba?
 
Nahodha hata wamfanyaje hauziki bara. Kama kwao tu kwenye kura za maoni alibagwa mbali tu,huku ataweza kufurukuta? Tena 2015 vijana wapya (ambao walikua na umri kuanzia miaka 13 hadi 17 kabla ya tarehe 31 ya Octoba,2010) watapiga kura. Hao ndo hata muungano hawautambui kwani elimu ya uraia shule za msingi kwishnei.
 
Munaanza na uzushi mapema yote haya! Hebu mwacheni kijana wa watu musimletee balaa watu wakamchukia bure!
 
Lakini haka kajamaa ni too short. Atakuwa the shortest presida in world's history.
 
Baada kusoma maoni ya wanajf, nimeshangaa kuona kuwa watu wanaanza kuongelea uchaguzi wa 2015 na kusahau changamoto zinazoikabili nchi. Let me say that, 2015 election is not our priority.
 
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili wanaodhaniwa kuwa na nguvu yaani prof.mwandosya na sita ambao kama wakijitokeza wanaweza kusababisha CCM kujigawa ivyo kueuka hilo watamchua mtu kutoka zanzibar yaani nahodha.
kuthibitisha hilo ni kujiuliza nahodha ametolewa uwaziri kiongozi na kuletwa uwazuri wa mambo ya ndani bara lipi baya alikuwa amefanya zanzibar?hakuna ila wanataka kumjengea mazingira mazuri bara.
sababu ya pili ni ya kimuungano zaidi kuwa tangu mwinyi hakuna rais mwingine kutoka visiwani ameongoza muungano sasa wanaona umefika muda watoe nafasi hiyo nayo itakwenda kwa nahodha.
nawakilisha

haya ni mambo ya vijiweni
 
Lakini haka kajamaa ni too short. Atakuwa the shortest presida in world's history.

Safari ni ndefu kwakweli. Tulianzia kwenye ukabila, tumekuja udini, sasa tunaongelea kimo. Amazing!!! Kweli JF home of great thinkers. Hivi kwanini huwa hatuongelei uwezo wa mtu badala yake tunaongelea viashiria vya kiubaguzi? Acheni hizo bwana.
 
Nahodha hata wamfanyaje hauziki bara. Kama kwao tu kwenye kura za maoni alibagwa mbali tu,huku ataweza kufurukuta? Tena 2015 vijana wapya (ambao walikua na umri kuanzia miaka 13 hadi 17 kabla ya tarehe 31 ya Octoba,2010) watapiga kura. Hao ndo hata muungano hawautambui kwani elimu ya uraia shule za msingi kwishnei.
nyanda nakwambia nahodha hafai hata kuwa mkuu wamkoa,huko zenj alipachikwa tu ktk uwaziri kiongozi hana sifa,pia kura zamaoni alikua mtu wa4,napia hajawahi kushinda ktk jimbo kihalali,mara zote anabwagwa na cuf,tena safari hii alipata asilimia 8 tu yakura akagomakusaini wenzie wakamwambia hutakiwi kubali yaishe,akatoa mbovu akasema hata shein hatakiwi shein akikubali kushindwa nami nakubali,wakachakachua akapewa,ngojen muone madudu atakayofanya hapo mambo yandani.
 
Mhhh, Chiluba je umemuweka wapi?

Hebu mcheki Marehemu President ....................

Lakini haka kajamaa ni too short. Atakuwa the shortest presida in world's history.
 
Last edited by a moderator:
maoni nimeyapenda sana ila tunasahau jinsì CCM inavyoweza kukazania jambo na ikawezekana.ss hata kama vuai hakubaliki inaweza kumfanya akubalike kwa lazima.dats why i hate this political party,sry for saying this.

kuna mmoja kasema tusijadili 2015 bt ww usipojadili wapo wanaojadili unapokuja kuanza kujadili unakuta wakati umeshakupita.
 
Kama ccm wanataka rais kutoka zanzibar basi inabidi wamuombe radhi dr salim ahmed salim ( the fomer oau general secretary). Akubali agombee lkn kwa nahodha ni bora kuongozwa na samaki wa maji baridi. Nahodha hajiamini hata kidogo hata mimi nikimkazia macho tu anakimbia sikwambii nchi za nje anaziogopa zaidi kuliko anavyo muogopa mungu wake. Kwa nahodha ni sawa tu kusema labda mungu ametulani sisi kuongozwa na kila dudu. Hee. Bora nitafute uraia wa katar lkn umekua mgumu kuupata kwa hili jina la tanzania kama ingekua ni pasport ya zanzibar mimi ningekusha kimbia.
 
Kilio chetu ni katiba mpya kwa sasa ambayo itatupa tume huru na tutaingiza mzalendo yeyote atuongoze wapo wengi achana na hawa majambazi tulionao.
 
nimepata tetesi kuwa nahodha anaandaliwa kuwa rais wa jamuhuri 2015.
sababu ni kuwa CCM wanataka kuokoa makundi yatakayoweza kujitokeza kutokana na mchakato.
hii inatokana na watu wawili wanaodhaniwa kuwa na nguvu yaani prof.mwandosya na sita ambao kama wakijitokeza wanaweza kusababisha CCM kujigawa ivyo kueuka hilo watamchua mtu kutoka zanzibar yaani nahodha.
kuthibitisha hilo ni kujiuliza nahodha ametolewa uwaziri kiongozi na kuletwa uwazuri wa mambo ya ndani bara lipi baya alikuwa amefanya zanzibar?hakuna ila wanataka kumjengea mazingira mazuri bara.
sababu ya pili ni ya kimuungano zaidi kuwa tangu mwinyi hakuna rais mwingine kutoka visiwani ameongoza muungano sasa wanaona umefika muda watoe nafasi hiyo nayo itakwenda kwa nahodha.
nawakilisha
Hivi unaota muwe mnakuja na habari zinazoendana na ukweli kama kakutuma mwambie akagombee kwenye nchi yake, kuanzia sasa hakuna mzanzibari atakayekuwa rais tanzania/tanganyika milele, kwanza ni zamu ya wakristo sasa. Kamtu kenyewe mdomo wa kuchonga asahau.
 
Nahodha kuwa na ndoto URAISI wa TANGANYIKA baada kuwaongoza wananchi wetu wa Visiwani si mbaya sana ila nisharti akakamilishe kwanza yafuatayo:

(1) Aende kwanza kwao kule Mondo - Kondoa nako akajifunze tamaduni zao na kuwaomba kwanza walau kumpima japo katika ngazi ya ubunge walau kwa vipindi viwili tu kabla hajajitokeza kuja kufanya majaribio ya uongozi kwa zaidi ya mikoa mingine 23 huku bara.

(2) Akatumie muda wake na nafasi yake ya hivi sasa kuburesha Muungano wetu kwa kuleta serikali tatu Tanzania.

(3) Kama kweli yuko serious kuja kufikiriwa huko mbele ya safari kutuongoza Tanzania Bara na Visiwani kwa pamoja basi ni sharti kwanza ahakikishe kwamba HANA KIGUGUMIZI katika kuitikia na kuunga mkono kwa dhati kabisa matakwa ya Umma wa Tanzania Kuandiki UPYA Katiba na Kuleta Tume Huru ya Uchaguzi.

(4) Kufanya SWEEPING POLICE-FORCE reforms na kupiga vita UFISADI wa MABILIONI na wala si vijihela vya madafu vilivyopokelewa barabarani tu.

Mtihani wake ndio huo hapo akaanzage kazi, mimi natoka kidogo ...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom