Vuai: CCM Zanzibar itapinga kwa nguvu serikali 3

Vuai: CCM Zanzibar itapinga kwa nguvu serikali 3

Hii Serikali kodi mnakwepa tatu ndo mtatoa. Bila kodi hakuna Serikali. Mashine hizo hamzitaki. Mtaendesha Serikali kwa U cuf U cdm na U ccm. Tazama madeni ya ndani kisha upime kwa namna gani utaendesha hizo Serikali. KN ya majimbo imewazungua wanajuta. Eti 3. Uchumi wa kuaminika huna co mazao wala viwanda. Acheni utani tufufuwe uchumi kwanza Serikali baadaye. Kila unacho nunua Kodi 18%. Wewe unalipa au unataka tu Serikali I!!!!!!!!!!"!"!

tumenyonywa na na wazanzibar kwa muda sasa, na sisi tuwe na serikali yetu, wamelikoroga wenyewe na watalinywa wenyewe pia
 
Huyu anaota! Mida hii Deutche Welle inawahoji wazanzbar,wote wanasema wanafurahia serikali 3!.
 
Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?

Acha waendelee kupinga, wanarahisisha maamuzi ya walio wengi wanaotaka serikali tatu ya kuiondoa ccm madarakani. Muda umefika waelewe ya kuwa wao na serikali yao wapo madarakani kwa ridhaa ya watu! Sidhani kama walio wengi watakubali kugeuzwa vikaragosi ili kumfurahisha Vuai na baadhi ya viongozi wa ccm. Waendelee kuota ndoto za 'Alinacha', upepo wa mabadiliko unakuja kwa kasi...
 
Tanachanganyikiwa kama hii tume imeona watz wanautaka Muungano basi inamaana Serikali 1 mbili ama tatu za kufanya nn. Watufafanulie

Fuatilia ripoti ya warioba aliyoitoa jana. Hizo sababu unazozitaka kujua alishazisema. Kila aina ya mfumo uliousema aliutolea maelezo. Pole, kama uelewa wako ni mdogo. Bw. Yesu akupe rehema, uisome ripoti ya Warioba kwa uturivu utaelewa.

Pia, JK alisisitiza kwamba tusome taarifa ya warioba vizuri.
 
Mwisho wa dezo ndoo huo mtabanana sana hapo Zenj manake watu kibao nafasi chache
 
91 katika kula ya maoni wengi walitaka tuendelee na mfumo wa chama kimoja lakini maamuzi yakafuatwa ya wachache waliotaka tuwe na mfumo wa vyama vingi huoni mawazo ya hawa wachache leo yameonekana kuwa na nantiki kuliko hayo ya hao wengi tafakari

tusidanganyane kwamba maoni ya wachache ndio yalifuatwa katika kuleta mfumo wa vyama vingi...ile ilikua ni lazima tu tuwe na mfumo wa vyama vingi kwa sababu sheria za kimataifa ndo zinasema hvyo wala tusijidanganye kua ilikua ni busra ya mwalimu ilikua ni lazima kulingana na matakwa ya sheria za kimataifa. so ili la serikali haliepukiki kwa sababu ni maoni ya watanzania walio wengi.
 
Basi kuna option 2 tu mbele yake, Zanziba iwe mkoa inamaana tuwe na serikali moja tu, au Muungano uvunjike, kila mtu awe na nchi yake.. Wanaopinga Serikali Tatu hawataki Muungano wa hizi nchi Mbili..
 
jamani lini niliona uzi hapa kuwa Vuai ataungana na wa zbr kudai nchi yao tena kageuka au ni haya maleria yangu
 
Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?

Tupo CCM tunaotaka serikali 3. Ndio maana imefika 61%. Na itakua hivyo
 
Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?

Huyo Vuai yupi? ni huyu Shamsi Vuai Nahodha au mwingine?
 
sasa wanaogopea nin serikali 3? safi sana mzee WARIOBA kwa kuwafichua wanafiki
 
Last edited by a moderator:
Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?

Kupe wameanza kustuka kwamba watakufa njaa kama mfumo wa sasa unaowawezesha kunyonya damu kuanzia Zanzibar mpaka Tanganyika unakaribia tupwa ktk jalala la historia!
 
Huyo Vuai yupi? ni huyu Shamsi Vuai Nahodha au mwingine?

Ina maana hata safu ya viongozi wako wa Ccm Huijui?

Humjui naibu katibu mkuu wako wa CCM Zanzibar? Ni lini Naodha aliwahi kuwa kiongozi wa kitaifa CCM?
 
Then Serikali moja,vinginevyo nawasihi watanganyika tupiganie kuwa na Serikali yetu
Ili Kila mtu ale kwa jasho lake, na tuepuke kelele za chura maana nazo ni kero tu
 
Ina maana hata safu ya viongozi wako wa Ccm Huijui?

Humjui naibu katibu mkuu wako wa CCM Zanzibar? Ni lini Naodha aliwahi kuwa kiongozi wa kitaifa CCM?

Yeye anahesabu post zake jf hayo mengine hayahumsu.
 
Hataki kwa sababu hataweza kuishi tena hotelini na familia yake tanganyika kwa kodi za watanganyika,kama alivyokuwa akila bata alivyokuwa waziri wa mambo ya ndani.
 
Ingekuwa ni Tatizo iwapo kichwa cha habari kingesema:

Vuta nikuvute itakuwa baina ya hao na wale zaidi ya 60% waliopendelea serikali tatu kwa mujibu wa rasimu ya katiba. Hadi hapo tunaona busara ipo wapi.

Cc Nguruvi3, Jasusi, JokaKuu, ZeMarcopolo, MwanaDiwani, MTAZAMO et al.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ndugu yangu naona tunapiga kelele bure. Kiukweli Wazanzibari wanafaidi katika serikali mbili na watafanya wawezalo waendelee kuukata. Hili sakata ni kama katika familia ambapo baba anajiona ana nguvu sana na kiongozi wa familia (Tanganyika) na mama anaonekana hana nguvu za maamuzi (Zanzibar) lakini mama ndiye mtoa maamuzi katika amilia (CCM). Baba akiwa ngangari, mama anatumia vito yake ya kumlaza baba njaa na hapo hapo kwa vile Baba akili ikihama kichwani na kuelekea kwa abdallah kichwa wazi, lazima akubali kila kitu mama anataka. Nina wasiwasi na serikali tatu kukubalika.

Hapa ndipo CDM inapopaswa kujizatiti ili ikomboe taifa hili maana Watanganyika sote aidha tunataka serikali moja au tatu na wenzetu wanataka mbili tu ili wafaidi na wazidi kuwa wamoja kwa kuona tunawanyonya. Mtu kama Nape bado hana uwezo wa kujenga hoja ili kuwafanya wanafiki katika NEC kutowaunga mkono Wazanzibari.
 
Hao wajurumani walitawa nchi yetu. Sasa wanawahoji waz.bar ama wanawapima ufahamu wao ili wapate njia nyepesi ya kuwarejesha tena utumwani?
 
Back
Top Bottom