Osambi ze Great
Member
- Jun 5, 2013
- 36
- 11
Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?
Alikuwa wapi wakati wa kura ya maoni? Wengi wape, hiyo ndio demokrasia!