Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3.
Amesema hayo Makunduchi jana
Safi sana Vuai nchi hii ya wote, tulio wengi tunataka serikali mbili,achana na hawa mavuvuzela.
wanaopinga serikali 3 wamepitwa na wakati, bila Tanganyika hakuna muungano,kwa maana nyingine Zanzibar imeungana na nchi gani?Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?