Vua gamba vaa gwanda kutingisha kusini

Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!

Safari hii wameapa kuwaamini, kwani Kile kipande kichafu cha Barabara Cha Somanga kimewachefua sana, pia wakienda mikoa yenye upinzani wanakuta maendeleo ni bakubwa kila kukicha. Je umewahi fika lindi lakini?
 
mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!

Nassari na Lusinde nani mtoto sio riziki?.
Ilaunaonekana unamipasho kama ya yule bwenge wa CCM.
Unatokea bendi ya hadija kopa? au Ni kijana kutoka Mombasa? Let me know you as soon as you can reply
 
mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!

Nime login facebook au!?
 
mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!

We NKADABWI ni nani huku Kusini?,ondoa UTOI wako hapa.Makamanda muje wote hamna tatizo . Wenyeji mtatukuta
 
Wasikose kuweka nguvu pale Masasi kwa sababu ni mji uliochangamka hivyo ni rahisi mabadiliko kukubaliwa! nilikuwa likizo mwaka jana nikawa na shauku ya kuiona ofisi ya CDM lakini niliambiwa ilikuwepo maeneo ya Mkuti Sokoni ila imehamishwa kwahiyo sikuweza kuiona pia mbunge wetu hakusaini kuleta uajibikaji serikalini nilimtumia msg asaini hakufanya hivyo! Tuna historia ya kubadilisha wabunge kila mara nakumbuka alikuwepo Makunda 1995-2000 akaja
Mrope 2000-2010 na sasa
Madam Kasembe 2010-2015 Hivyo basi kuna kila sababu ya kuwekeza nguvu nyingi hapo kwani ni potential people are ready what they lack is organizer.
 
Mungi uko wapi?.Niliandika huju jamvini kuhusu kitu ukaniahidi mtafika .Hii Nchi imeumbwa kama Mwili wa Mtu.Kichwa Kaskazini ,Miguu kusini,Sasa nyie Wakaskazi (kichwa)njoni huku kusini (miguuni) tuanze safari.kila mtu anajua Kichwa kinafikiri Mikona na miguu utenda .Nawaambieni Mtwara tumeichoka sana CCM ,Nenda Mdenga,Mangamba(nimetaja mifano),Mikindani uone watu walivyochoka.
 
Kusini ndio point pekee iliyosalia ya kukamilisha ukombozi 2015.

Makamanda wakimwaga Elimu ya Uraia vizuri ,nawaambia hakuna Mtu atakayeendelea kuishabikia CCM,Mtwara ina matatizo mengi, barabara mbovu,maji yanasumbua,Bandari imeuzwa nk.Huko Ndundu -Somanga ahadi ya kuimalizia barabara muda wake zinafikia umri wa mtoto kumaliza darasa la saba tangu zianze kutolewa.
 
Chama cha Wachaga kinakuja Umakondeni..... Mnaanza na sera zipi?
wanaanza na sera ya udini kwanza
sasa kusini 70% ni maustadh tena sunni sasa sijui watajipanga panga vip
waje,ila wasije na sera hizo za ubaguz watapata wafuas
wakija na nassari tutawaomba watuachie tukamfundishe kazi ya (KUPARA>>>MIWA)PALE MNAZI MMOJA UKIPITA LINDI BAHARINI..
Twaipenda chadema,ila hatuupendi ubaguz wa baadhi ya wanachadema
 
Back
Top Bottom