Vua gamba vaa gwanda kutingisha kusini

kwa ugumu wa maisha na mfumuko wa bei lazima wavue gamba wavae gwanda.!
 
eti chadema ni chama cha kazkazini... lindi,mtwara napo ni kazkazini..?au ni kazkazini mwa msumbiji?....haya sasa jitokezeni kwa wingi mvae magwanda.
 
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
membe, chikawe,george mkuchika. nao wanatoka wapi na hao waislam hawajawaona hao.
 
Kusini wakikubali CDM 2015 nchi itakuwa chini ya ukombozi nadhani ni wao tu ndio wamebaki kwani kanda zingine tayari zishakombolewa
 
Safi sana makamanda, nashukuru maoni yetu mnayafanyia kazi, kwa mwendo huu 2015 lazima kieleweke. Pia mkifika huko msisahau kumshitaki Malima kwa wapiga kura wake, kwa tabia yake ya ufuska aliyoifanya kule morogoro, muwaeleze je icho ndicho walichomtuma akafanye, pia msisahau kuwashtaki wabunge wote waliokataa kusaini karatasi ya Zitto....
 
Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na Katibu wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika.

Amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;

  1. kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
  2. kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
  3. kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
Amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya Kanda ya Kusini yalifikiwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema.
Hasa no. 3 ni afya kwa chama.
 
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.

Mawazo ya mtu ambae either amedumaa/kufirisika kifikra au bado hajakomboka kifikra,dunia ya leo ujadili udini kwy politics??what a shame!
 
Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!

Maendeleo yote duniani yalianzia kaskazini! Kwa hiyo huwezi kuwabeza watu wa kaskazini. Hata Dar es Salaam Kaskazini imeendelea kuliko Dar es Salaam Kusini.
 
Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na Katibu wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika.

Amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;

  1. kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
  2. kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
  3. kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
Amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya Kanda ya Kusini yalifikiwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema.

mkija kusini muje na adabu zenu
sera za nassari mziache huko huko kaskazin
tena huyo dogo jinga msije nalo huku
mtoto huyo vipiii??
Mtoto nassari hashikikiiiii...??
Hashughulikiiiii...!
Mtoto sio ridhkiiiii...!
Mtoto si mali kituuu.
Na wala hajali kituuu..
Aitwa mtoto wa watuuuu..!
Kusini mje na adabu zenu...!
 
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.

We vp!! Wapo waislamu kibao tunaipenda chadema saana mkuu. Fikra za kigamba hizo
 
chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya kanda ya kusini, lindi na mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na katibu wa habari na uenezi wa chadema, john mnyika.

amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;

  1. kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
  2. kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania,
  3. kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya kanda ya kusini yalifikiwa na kamati kuu (cc) ya chadema.

jamaa naona wana haha..baada ya dogo janja ulimi kumponyoka na kutoa siri..viongozi waandamizi wanahamaki. Sasa wana taka kuuwa soo eti wanakwenda kusini ili watanzania wajue kama cdm si chama cha kaskazini na kikanda. Tangu lini kusini ikawa ni priority ya cdm? Uchaguzi uliopita waliipa nusu siku tu kwa mikoa yote miwili.
 
yashamwagika tayari
ngumu sana kuzoeleka
wahenga wanasema ''ALAHAULA HAITANGULII''
 
Back
Top Bottom