Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 627
- 1,153
Wakuu natumai hamjambo, naomba msaada wa software ya vpn, hii inatumika kufungua zile site zilizozuiliwa kufunguka kwa sababu moja au nyingine, naomba mtu aliyonayo aiweke kwenye hili jukwaa nitaidownload, nahitaji ya mac book laptop OS X 10.8.3, aksanteni.