VPN na TG

VPN na TG

mediapix

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
485
Reaction score
90
Samahani kama ntakukera ila mi sijui na nahitaji kujua. Nimekuwa nikitumia internet kama kawaida ila kila mara naona thread: mara proxy mara tg. Vina muhimu upi? Nawasilisha
 
Hizi zote ni Anti-censorship tools...
e.gHauwezi Angalia Netflix au ku sign up www.netflix.com iwapo upo TZ hii tunaita Geo-blocking ila ukiwa na VPN/Proxy basi utaweza Kupata vitu ambavyo vimewekwa kwa ajili ya US au UK tu ili mradi utumie server ya hiyo nchi
au mfano kwenye Office nyingi zenye Internet ya bure wame block Facebook lkn kwa VPN/Proxy unaweza kuondoa hizi restrictions

So to say ukiwa na VPN/Proxy unakua anonymous online hakuna anaeweza ku-track activity yako online

In laymans language hiyo

TunnelGuru(TG) ni moja kati ya VPN and Proxy servers providers umaharufu wake unakuja kwamba hii VPN yake ina features ambazo huweza wapelekea watu ku missuse matumizi ya VPN

e.g Hapa Bongo wengi naweza sema wanatumia kujipatia Internet za bure na.za bila kikomo pia na Ku-bypass speed caps e.g Vifurushi vya Voda au tigo wanavyo bana speed baada ya GB fulani
 
Nimependa hapo pa ku unlock geo-restriction. Inamaana naweza ku streem kutoka iPlayer ya bbc one? Thanx mkuu angalau macho yanaanza kuona
 
kwahiyo mkuu unashauri VPN nzuri ni Tunnel Guru?inakua na speed gani(coz nina download sana)?na inapatkana wapi na kwa bei gani?
 
TG itafaa lakini sio VPN yenye speed kubwa na wala hata haijulikani ki vile....
Tg client ina bad user Interface sijapata kuona...

Waweza Google "Cheap best VPN" Utapewa VPN nzuri lkn kama hauendi kutumia kwa geo restrictions basi go for TG bado iko cheap na kwa speed za mitandao ya Kibongo itafaa...

Maresellers wa TG wapo wengi humu waweza ulizia malipo < or = 8,000/=
 
  • Ni kweli
  • Waweza stream BBC iPLAYE, VEVO, NETFILX, HULU and others like
kwahiyo mkuu unashauri VPN nzuri ni Tunnel Guru?inakua na speed gani(coz nina download sana)?na inapatkana wapi na kwa bei gani?
VPN nzuri ni Tunnel Guru?
Kwa kutumia vigezo kwa kulinganisha na vpn zingine, TG ni bora kwa sababu zifuatazo
  • Bei rahisi kuliko vpn nyengine yeyote ile , price yake inaanzia USD 2.99 kwa mwezi for basic plan na USD 3.5 for truly Unlimited Plan | Angalia mwenye hapa | >>Voucher Code: Buy TunnelGuru : Free Anonymous Web Proxy , HTTP Tunnel , VPN Tunnel , ICMP Tunnel , DNS Tunnel , HTTP Proxy Provider : TunnelGuru
  • Waweza tumia LOOP HOLE kwa baadhi ya mitandao na kupata FREE UNLIMITED INTERNET kumbuka si VPN zte zaweza kufanya TUNNELING
  • Upatikanaji wake wa vouchers ni rahisi sana na ina AUTHORISED RESELLERS kwa hapa tanzania ZAIDI YA MMOJA Ingia hapa kupata list ya Resellers wa tanzania | >> Tunnelguru Reseller List
  • Swala la Speed inategemeana na mtandao unaotumi na eneo ulilopo, ila kimsingi wengine huwa wanatumia hizi VPN ili ku_Boost Speed , Hivyo tegemea kupata ongezeko la speed, na hasa kama utatumia HTTP TUNNEL ambapo unaweza amua kwamba internet iwe tu kwa Download Manger na Browser Pekee.
tg unadownload free kutoka web yao unacho hitaji next ni vocha tu ndio utanunua
Ni kweli after Download JUST

Au wasiliana nami TG AUTHORISED RESELLER
nBHv3Y

KARIBU
 
TG itafaa lakini sio VPN yenye speed kubwa na wala hata haijulikani ki vile....
Tg client ina bad user Interface sijapata kuona...

Waweza Google "Cheap best VPN" Utapewa VPN nzuri lkn kama hauendi kutumia kwa geo restrictions basi go for TG bado iko cheap na kwa speed za mitandao ya Kibongo itafaa...

Maresellers wa TG wapo wengi humu waweza ulizia malipo < or = 8,000/=
thanx mkuu wa mavoko,napenda inayo unlock geo-restriction ndo inakua nzuri zaidi.
 
vocha ya TG bei gani?na nikitumia vocha ya TG sitakua nanua bundle ya kawaida ya mtandao ninao tumia?

swali zuri sana kwa bei ya vocha ni 6000 na kwa swali lako la pili aise niko mweupe pepepe, kwa anayefahamu plz tutoeni ushamba
 
natumia TG kitambo kidogo na nimerialise kuwa nime save pesa nyingi sana thanx njunwa for ur services
 
Back
Top Bottom