Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Sisi hatufurahii droo. Wewe ndio unaona kama umeshinda.
Kwani nyie si mmezoea draw
Sisi hatufurahii droo. Wewe ndio unaona kama umeshinda.
Breaking news
azam 1:1 simba
simba bado yuko kwenye nafasi ya tisa yaani 9
acha mbwembwe wewe.simba bado ni timu bora zaidi tanzania
Kwani nyie si mmezoea draw
Matokeo kutoka viwanja vingine yakoje?
Just curious unakaa jukwaa lipi? Jibu swali. Timu zenye ushindani ni Simba na Yanga. Wewe pretender tu.
acha mbwembwe wewe.simba bado ni timu bora zaidi tanzania
Jukwaa zilizopo ni za Yanga na Simba,timu mbili kubwa na zenye ushindani Tanzania. Mwenzako Steve Azam leo alikwenda jukwaa la Simba baada ya kushindwa kukaa jukwaa la Yanga. Sasa ukienda kuangalia mpira unakaa jukwaa lipi?Au hauna jukwaa maalum? Ni kama kinyonga tu unabadilisha rangi kutegemeana na ulipo?hebu weka vizuri swali lako kwangu.
Simba nawapa wimbo huu ikiwa ni zawadi kwenu.
Wimbo huu ni kwa hisani ya Ambassadors of Christ, Remera SDA Church Choir, Kigali, Rwanda.
Ni kwa nini umeyaruhusu, ee Mungu Mwenyezii,yatusononeshee moyoni, kwa nini unaruhusuu, ona haya machoozi, tazama tunavyoliia,twajiuliza sanaa, Bwana, ni kwa nini uliyaruhusuu?NIKWA NINI?
Nikumbukapo jioni hii, jioni ya huzuni nyiingi,ulipokubali Bwana kwamba wenzetu wapumzike, najiuliza moyooni, kwa nini BwanaMwenyeezi, umeruhusuu tuso-noneshwe kiasi hiki.
Mlipuko ni ghafla, tulipovamiwa naa mauti, Bwanaulimruhusu Ganta (Mtibwa)aiage dunia; ndugu Amosi (Azam),Manzi (Simba) kijana (Mnyama)mnyeenyekevu twawakumbukaa wote, hatutawasahau.
Twahuzunika Bwana, tena nawe wajuuaa, lakini kwahayo yote chukuliwa kwa matendo meema, uliyoyakubali wale watumishi waakowayatende katika siku hizo chache za maisha yao;
Twayakumbuka, maatendo yenu, mema yasiyoelezeekamlotenda duniani (uwanjani), twawakumbukatulivyoishi vizuri kwa muda mlikuwa nasi hatutawasahau.
Source: https://www.youtube.com/watch?v=kjydLupvVrk