VPL: Simba SC Vs Azam FC

VPL: Simba SC Vs Azam FC

siku zote yanga wakifungwa au wakibanwa wanamtafuta mchawi. anaweza kuwa refarii,uwanja au iman za kishirikina.maybe ni mambo ambayo mmeridh toka kwa wazee wenu.mmepandikiza hata mashabiki wenu ,wachezaji ndo usiseme.huo ni ujinga karne hii mnaamini ushirikina ktk kabumbu.ndo maana yanga kimataifa haina record nzur ukilinganisha na mnyama.uchaw mtafanya bongo huko nch za watu mtagongwa tu. ni aibu sana kushabikia yanga shirikina club. huwez hisi mwingne mchawi kama wewe si mchawi.ndo maana wakikosa magoli wanakimbilia kuhisi uchaw.mpira ni sayans na pia ni saikoloj.watu wanaweza wafunga nje ya uwanja kisaikolojia.na tunakumbuka mara kadhaa yanga ikitia mpira kwapan kwa iman kama hizo au ikifanya vituko kwa iman kama hizo.
 
Kumbe kama ukawa
 
Kutoka Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya: Mbeya City 1-1 Prisons, Prisons wakitangulia kufunga na Mbeya City kusawazisha.
 
huyu kavumbagu kuchezea yanga kulimwaribu sana. anamfanyia madhamb p.manyika. ukichezea yanga hata akili zako zinakuwa za kichawkichaw tu
 
Back
Top Bottom