Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri lakini anaejua ni bubu, je bubu atafanyaje ili amwambie kipofu kuwa mke wake anamsaliti? naomba jibu wakuu????
Bubu ataandka kwenye karatasi na atampa kiziwi amsaidie kusoma mbele ya kipofu