Tish
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 360
- 209
Xiaomi wana toa simu zenye specification nzuri pia lakini samsung iko more quality kuanzia display app za samsung kama keyboard ipo fresh samsung internet app iko fresh kuzidi ata chrome Calendar app nitofauti sana na nyingine kifupi samsung ipo vizuri kuanzia kwenye software pamoja na hardware.Pia Xiaomi ni nzuri ila Samsung wanatoa simu nzuri sana unatumia bila karaha kutokana na ubora wao.Ila kila mtu yuko huru kutumia simu anayoona inampa raha na anailewa kuna makampuni yana kuja na simu zenye ubora mkubwa japo kwenye mada hayapo kama Nokia,huawei,Sony, na hata infinix nao wanakuja vizuri kama hii note 5 note& 5 stylus zipo vizuri hata hii tecno camon x pro sema bei zao ziko juu sana ila simu zao sio mbaya kila mtu awe huru kuchagua