VOTE ,SAMSUNG DEVICES vs XIOMI DEVICES

VOTE ,SAMSUNG DEVICES vs XIOMI DEVICES

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Which is better ...
samsung-galaxy-s6-edge-plus-9658.0.1484829425.jpg
AH-Xiaomi-Note-Bamboo-Logo-June-30-Series-2-5-710x473.jpg
xiaomi-mi-6-review-4.jpg
 
Xiaomi kama tecno tu.so nidharau kwa sisi watumiaji wa samsung mkatushindanisha na xiaomi.tuombe radhi kwa wadau wa samsung plzzz
 
Ubora Samsung,unafuu wa bei ni Xiaomi.
Ila Xiaomi anajitahidi pia kutengeneza simu za viwango so ni Bora ukaeleza unaishindanisha Sam ipi na Mi ipi?
 
Xiaomi kama tecno tu.so nidharau kwa sisi watumiaji wa samsung mkatushindanisha na xiaomi.tuombe radhi kwa wadau wa samsung plzzz
Xiaomi pia wapo viwango hacha dharau mbwiga we
 
Mkuu acha dharau.
Samsung ni level za apple sio huo uchafu..

Fanya kufananisha hizo xiomi na Tecno kwanza ukimaliza njoo huawei ..
Watu wa samsung tufananishwe na apple ,LG , HTC, motorola n.k
 
Xiaomi kama tecno tu.so nidharau kwa sisi watumiaji wa samsung mkatushindanisha na xiaomi.tuombe radhi kwa wadau wa samsung plzzz
Xiaom brand bora kidunia ipo namba 5 tecno ipo namba ngapi mzee baba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Natumia brand ya Samsung,ila kiukweli Mi(Xiaomi) ni I phone series ya kule China
 
Iko bora kidunia kwa sababu ya ukongwe katika game ila siyo ubora. Kagoogle specs za Xiaomi uone jinsi ilivyo bora.
Mimi hapa natumia xiaom najua ila kuna mhindi alisema samsung wamelewa sifa na kujisahau xiaom ni Nzuri ila haijasambaa sana na huko India xiaom anauza zaidi ya Samsung
 
Mimi hapa natumia xiaom najua ila kuna mhindi alisema samsung wamelewa sifa na kujisahau xiaom ni Nzuri ila haijasambaa sana na huko India xiaom anauza zaidi ya Samsung
Duuh kumbee
 
Mimi hapa natumia xiaom najua ila kuna mhindi alisema samsung wamelewa sifa na kujisahau xiaom ni Nzuri ila haijasambaa sana na huko India xiaom anauza zaidi ya Samsung
Huo ndiyo ukweli. Ni brand moja kali sana. Nashangaa hapa Tanzania wafanyabiashara hawajagundua hiyo product. Ni bidhaa matata sana,tupa kule Techno,tupa kule Huawei yoyote uijuayo,tupa kule Infinix et al. Hao jamaa ni kiboko.
 
Back
Top Bottom