Voodoo wrestling: Mieleka ya kichawi

PRO 90

JF-Expert Member
Jul 12, 2012
261
498
Habari za wakati, wazee.

Tuendeleee kujuzana mambo na vijambo vya ulimwengu wa giza. Lengo si kuutukuza ulimwengu bali kuyajuza yale yafanyikayo gizani, kuonyesha kweli sio kificho. Maana utakuta mtu ana shauku ya kutaka kuwa kama fulani na kujilinganisha naye, akiona hafiki huko, ana kata tamaa njiani. Sasa twende kwenye mada.

Miaka ya nyuma kidgo, kuna mwana mieleka mmoja kutoka CONGO aliamua kujitosa kwenda kujaribu bahati yake katk michezo ya mieleka kwa wenzetu, huko majuu.

Jamaaa, ajulikanaye kama Kele Kele Lituka, alikuws ni under dog ktk michezo, maana ndio alikuwa anaanza haya kuingia huko. Lakini siku ya siku alikuja kupambanishwa na PRO katk mchezo ana kuwaaibisha vibaya mno.

Katika moja mbilmbil, akawa hashikik wala hapigiki huyu jamaa, ingawa alikuwa underdog tu. Ndipo ikaja julikana mzee alikuwa akichanganya na uchawi ktk ABC zake za michezo.

Akiingia ulingoni, huwa na nguvu za ziada, pumzi, hata mpinzani wake huweza mtawala hisia zake, au hata kumpiga upofu awe anaona wenge, kisha yeye anajipigia tu. Hii michezo hufanywa sana hata na majambazi, wana muziki, waigizaji n. K

Mr. Lituka, akawa na siri hii miaka nenda na kurudi. Sasa hii kitu ikaja pokelewa vema na kuendelezwa huko kwao CONGO. kipindi hiki kukwa na nguli mwingine aitwaye Edingwe.

Edingwe alivuka mipaka kidgo, hata kuingia ki namna nyingi jukwaani, na majeneza, na uchawi wa wazi wazi. Kuna kipindi mpinzani wake mmoja, alipo ingia tu ulingoni na pambano kuanza. Alijikuta akikata mauno na kucheza mziki kwa Dk 10. Hapo Edingwe alikuwa anafanya yake kabisa, mkiona ishara za mikono na kumwagian madawa.

Edingwe kuna muda inafikia nyakati, mnaona kabisa anafukwa na moshi kichwani. Wapinzani wa Edingwe walikuwa wanakwambia wakiingia ulingoni wakaona kama wanapigana na simba. Alikuwa ni habari nyingine.

Mchezo ukageuka ni uchawi sasa. Mieleka unaongezea na ndumba, mwennye uchawi mkali atashinda.

Kila mmoja akawa anazunguka, kutafuta dawa kali. Wapo waliotoa kafara watoto, ili tu nao wapate fame na ukubwa katk mchezo huu.

Kuna kipindi, vifo hutokea. Pale wanapo kutana na kubishana kiuchawi ulingoni. Kuna siku Edingwe aliwahi kutana na jamaa aliye jipanga naye. Akaona dharau hizi, akaleta moto, jamaa aliungua sana na kufia hospital. Kesi haikuwepo maana alishinda akidai walikuwa mchezoni ulingoni, ni mchezo.

Hizi siri na mbinu hutumika sana. Tumeona kuna wanamasumbwi wanakwambia wazi kuwa ukipanda ulingoni na fulani kuna sinto fahamu nyingi sana. Malue lue na uchawi mwingi, unaona mwenzio macho yanakuwa yanachange hali na sinto fahamu nyingi sana.

Kuna mwanamasumbwi mmoja juzi kati tu hapo, alikimbia ulingoni na kutoa ushindi wa mezana hata kabla ya pambano kuanza, baada kuyaona na kuhisi yale aliyo ambiwa. Baada ya maojino story ikawa yule jamaa ni hafai, mchawi.

Wana riadha, muziki, majambazi, askari wengi huongeza nguvu ktk haya mambo na ku perfom uchawi. Dunia kuna vibweka sana, nahisi hata kuna kipindi UNDERTAKER alikuwa akijifanya kutumia hivi vitu, sijajua kwa kiwango gani au ilikuwa ni swags tu.

Huko CONGO mieleka hii ya kichawi hadi wanawakd hushiriki, hushinda fresh tu akiwa kajipanga. Wapo wanao iomba Serikali ifute huu mchezo, maana dhana halisi ya mchezo hauonekani.

Mtu hana mazoezi, hafanyi mazoezi, kutwa kashinda na kazi za kawaida, lakini akisikia pambano anaenda na kushinda kwa ndumba.

Wenzetu hadi mapoti huko wanashiriki mchezoni kama kawa.

Huyu jamaa aliye kata mauno dk 10. Akaomba marudiano na Edingwe. Ila this time, aliamua kufunga masaa 24, kabla ya pambano, fanya maombi kanisani. Akaenda na pastor wake katk pambano, Edingwe alichapwa. Nuru yashinda giza.

Katik ulimwengu watu hufanya mengi sana, sio kila fame huja kirahisi. Ridhika na kile unachoweza, tumia fursa, usitake shortcut, ina ghalimu.
images-121.jpeg
download-8.jpeg
images-122.jpeg
images-123.jpeg
images-124.jpeg
mqdefault.jpeg
images-125.jpeg
images-126.jpeg
catch-wrestling-335x300.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII MADA NZURI SANA, NINGEPENDA KUJUA UCHAWI WANAOTUMIA PIA WANASIASA KAMA KINA MAKONDA
Sidhani kama ni vyema sana, kutaja majina.

Ila wanasiasa wengi hupiga codes za kichawi sana. Wakiamini ni ulinzi na kuvuta mvuto, kukubalika ktk jamii yake.

Hapo ndio makafara na vitu vya namna hiyo hufanyika.

Hapo wanashindana kurushiana viuchawi, ukitaka mshinda mwenzio maliza au toa uchawi wake, fasta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII MADA NZURI SANA, NINGEPENDA KUJUA UCHAWI WANAOTUMIA PIA WANASIASA KAMA KINA MAKONDA
Kwa taarifa yako ukitaka kujua wanasiasa wanavyofanya kafara basi fungulia vyombo vya habari mwezi huu wa pili na fuatilia kwa makini habari za vifo vya ajali mbali mbali mwisho wa mwezi niletee mrejesho.
 
Vipi wale makomandoo wa kwenye sherehe za Uhuru huwa hawafanyi hayo mafude ya kuroga
 
Kwanini wasikusanye nguvu wakawatoe waasi maporini huko ili waishi kwa amani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, unahisi waasi wapo wapo tu??

Wana ibada za giza sana, na matambiko, na kazi wanayo ifanya shetan ina mbariki sana, so lazima hawape manguvu. Labda MUNGU aamue tu kupindua meza

Ila hakuna utawala unaojipindua wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huo uchawi bado kuna watu walikuwa bado wanajiamini kuingia ulingoni kupambana na huyo mwana???
 
Afrika kuna mambo
Habari za wakati, wazee.

Tuendeleee kujuzana mambo na vijambo vya ulimwengu wa giza. Lengo si kuutukuza ulimwengu bali kuyajuza yale yafanyikayo gizani, kuonyesha kweli sio kificho. Maana utakuta mtu ana shauku ya kutaka kuwa kama fulani na kujilinganisha naye, akiona hafiki huko, ana kata tamaa njiani. Sasa twende kwenye mada.

Miaka ya nyuma kidgo, kuna mwana mieleka mmoja kutoka CONGO aliamua kujitosa kwenda kujaribu bahati yake katk michezo ya mieleka kwa wenzetu, huko majuu.

Jamaaa, ajulikanaye kama Kele Kele Lituka, alikuws ni under dog ktk michezo, maana ndio alikuwa anaanza haya kuingia huko. Lakini siku ya siku alikuja kupambanishwa na PRO katk mchezo ana kuwaaibisha vibaya mno.

Katika moja mbilmbil, akawa hashikik wala hapigiki huyu jamaa, ingawa alikuwa underdog tu. Ndipo ikaja julikana mzee alikuwa akichanganya na uchawi ktk ABC zake za michezo.

Akiingia ulingoni, huwa na nguvu za ziada, pumzi, hata mpinzani wake huweza mtawala hisia zake, au hata kumpiga upofu awe anaona wenge, kisha yeye anajipigia tu. Hii michezo hufanywa sana hata na majambazi, wana muziki, waigizaji n. K

Mr. Lituka, akawa na siri hii miaka nenda na kurudi. Sasa hii kitu ikaja pokelewa vema na kuendelezwa huko kwao CONGO. kipindi hiki kukwa na nguli mwingine aitwaye Edingwe.

Edingwe alivuka mipaka kidgo, hata kuingia ki namna nyingi jukwaani, na majeneza, na uchawi wa wazi wazi. Kuna kipindi mpinzani wake mmoja, alipo ingia tu ulingoni na pambano kuanza. Alijikuta akikata mauno na kucheza mziki kwa Dk 10. Hapo Edingwe alikuwa anafanya yake kabisa, mkiona ishara za mikono na kumwagian madawa.

Edingwe kuna muda inafikia nyakati, mnaona kabisa anafukwa na moshi kichwani. Wapinzani wa Edingwe walikuwa wanakwambia wakiingia ulingoni wakaona kama wanapigana na simba. Alikuwa ni habari nyingine.

Mchezo ukageuka ni uchawi sasa. Mieleka unaongezea na ndumba, mwennye uchawi mkali atashinda.

Kila mmoja akawa anazunguka, kutafuta dawa kali. Wapo waliotoa kafara watoto, ili tu nao wapate fame na ukubwa katk mchezo huu.

Kuna kipindi, vifo hutokea. Pale wanapo kutana na kubishana kiuchawi ulingoni. Kuna siku Edingwe aliwahi kutana na jamaa aliye jipanga naye. Akaona dharau hizi, akaleta moto, jamaa aliungua sana na kufia hospital. Kesi haikuwepo maana alishinda akidai walikuwa mchezoni ulingoni, ni mchezo.

Hizi siri na mbinu hutumika sana. Tumeona kuna wanamasumbwi wanakwambia wazi kuwa ukipanda ulingoni na fulani kuna sinto fahamu nyingi sana. Malue lue na uchawi mwingi, unaona mwenzio macho yanakuwa yanachange hali na sinto fahamu nyingi sana.

Kuna mwanamasumbwi mmoja juzi kati tu hapo, alikimbia ulingoni na kutoa ushindi wa mezana hata kabla ya pambano kuanza, baada kuyaona na kuhisi yale aliyo ambiwa. Baada ya maojino story ikawa yule jamaa ni hafai, mchawi.

Wana riadha, muziki, majambazi, askari wengi huongeza nguvu ktk haya mambo na ku perfom uchawi. Dunia kuna vibweka sana, nahisi hata kuna kipindi UNDERTAKER alikuwa akijifanya kutumia hivi vitu, sijajua kwa kiwango gani au ilikuwa ni swags tu.

Huko CONGO mieleka hii ya kichawi hadi wanawakd hushiriki, hushinda fresh tu akiwa kajipanga. Wapo wanao iomba Serikali ifute huu mchezo, maana dhana halisi ya mchezo hauonekani.

Mtu hana mazoezi, hafanyi mazoezi, kutwa kashinda na kazi za kawaida, lakini akisikia pambano anaenda na kushinda kwa ndumba.

Wenzetu hadi mapoti huko wanashiriki mchezoni kama kawa.

Huyu jamaa aliye kata mauno dk 10. Akaomba marudiano na Edingwe. Ila this time, aliamua kufunga masaa 24, kabla ya pambano, fanya maombi kanisani. Akaenda na pastor wake katk pambano, Edingwe alichapwa. Nuru yashinda giza.

Katik ulimwengu watu hufanya mengi sana, sio kila fame huja kirahisi. Ridhika na kile unachoweza, tumia fursa, usitake shortcut, ina ghalimu.
View attachment 1345070View attachment 1345071View attachment 1345073View attachment 1345075View attachment 1345077View attachment 1345078View attachment 1345080View attachment 1345082View attachment 1345083

Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika kuna mambo
 
Back
Top Bottom