voice clarity feature for nokia users...

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
319
Wakuu kwa mwenye nokia yenye hii feature naomba feedbak kama inabadili chochote wakati wa mazungumzo endapo itakuwa activated cuz kwny cm yang bado cjaona utendaj kaz wake
 
unatumia simu gani? inabidi useme kwanza.

kama ni feature ya hd calling kibongo bongo sahau maana mitandao yetu haisuport hata kama ipo kwenye simu.

ila kama ni simu yenye haac mic za nokia basi itatoa sauti nzuri iwe mtandao unasuport au hausuport maana hizi mic zinafungwa mbili moja juu na moja chini then zinadetect kelele na kuzipunguza. mfano upo sokoni, stendi au disco zile kelele hazitaskika kwa unaeongea nae. pia inatumika kurekodia sauti na kwenye uchukuaji video
 

me natumia nokia 5130xpress music mkuu
 
me natumia nokia 5130xpress music mkuu

sjawah skia kitu special kuhusu hio simu zaidi ya jina la hio simu xpress music. labda voice clarity ni hizo spika zake kama za kichina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…