Mkuu hii namba 15544 kwangu imekuwa kama dozi yaani ni asubuhi, mchana na jioni, saa nyingine hadi night kalihyo network kama simu yako haina band nying lazma isumbue ... Mana toka jana watu Wako busy sana na simu... Na kuforwadiana ma sms... Pole
.
Me toka uanze mwezi december 2013
.
nimejiunga Cheka bombastik zaid ya mala 20
.
ila sijawahi pata sms ya kifurushi changu kimeisha mpaka nipige *147#
.
ila namba hii 15544 Ndo kihele hele kwely