VODACOM

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,020
168,015
Habari za wakati huu wataalamu!

Hivi ni kwanini sikuhizi huu mtandao wa VODACOM Umekua ukisuasua?!
Yani mambo ni tofauti kabisa na mitandao mingine mtandao wa Voda sikuhizi wamekua wa ajabu sana marekebisho kila kukicha, kero kero nyingi, kukata mtandao sasa ndo usiseme.

Wataalamu tatizo ninini hasa??
Na mbona mitandao mingine haina hizo shida mara kwa mara kama ilivo kwa VODA?!
Kwakweli VODACOM mnaudhi sana sikuhizi.
 
Back
Top Bottom