Vodacom wezi soma hapa

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
867
1,000
Yaaan nimejiunga internet bila kikomo ya siku kwa buku nimedownload mb 700 tu, nikatumiwa massage kwamba wanashusha speeed du wezi
 
LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,154
2,000
Yaaan nimejiunga internet bila kikomo ya siku kwa buku nimedownload mb 700 tu, nikatumiwa massage kwamba wanashusha speeed du wezi

Hawa jamaa ni wezi sana na wanaibaga mchana kweupee, sasa nataka kuwa regular wa tigo! hivi Bongo jamani hata tunashindwa kuwa na a customer watchdog organisation ?? haya majambazi yanaiba yanavyotaka kila kukicha!! Arghhh!!!
 
Mr Kicheko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
798
195
Yaaan nimejiunga internet bila kikomo ya siku kwa buku nimedownload mb 700 tu, nikatumiwa massage kwamba wanashusha speeed du wezi

Kaka vigezo na mashart huzingatiwa so ujue hata zile automatic update uhesabiwa.
Si Ajabu hizo 300MBs zimeliwa na App zinazorun back ground
 
jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,344
2,000
Yaaan nimejiunga internet bila kikomo ya siku kwa buku nimedownload mb 700 tu, nikatumiwa massage kwamba wanashusha speeed du wezi

unapotumia internet una download na ku-upload kwa pamoja, cheki vizuri kwenye monitor yako, inawezekana download ni 700 lakini hujajulimsha na upload, jumlisha halafu uone total ni umetumia MB ngapi.
 
Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,577
2,000
unapotumia internet una download na ku-upload kwa pamoja, cheki vizuri kwenye monitor yako, inawezekana download ni 700 lakini hujajulimsha na upload, jumlisha halafu uone total ni umetumia MB ngapi.

Kumbuka pia huyu alianza kubrowse, akatafuta anachotaka kudownload, simu iko ON background app refresh, simu ina auto sync.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom