VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

Jamani active SIM Card ya network yoyote ni tracking device! msiwaonee Vodacom tu! wanaojua telecom engineering wanaweza wakaeleza vizuri how you can track an active subscriber.
 
Huyu mleta hoja amekurupuka tu. Angetueleza kwa takwimu ni kiasi gani ambacho Chadema ilitegemea kupata kutoka kwa wachangiaji, kiasi ambacho Vodacom wamekataa kuruhusu kukusanya hela hizo?? atuambie makubaliano ambayo yapo kati ya Vodacom na Chadema kuhusu uchangiaji. Atuambie nani anamiliki hiyo Short Code ambayo mtoa mada haijui? atuambie makubaliano yakoje kati ya mmiliki wa shortcode na vodacom. Mtoa hoja atuambie mgawanyo wa mapato kati ya Vodacom na Chadema. sio akurupuke tu na kuanza kuichafua Vodacom. Lakini hata kama Vodacom wakigoma, kwani kazi /biashara ya Vodacom ni kuchangia vyama vya siasa!? Je Vodacom hawana haki ya kukataa kuchangisha? Atuambie Chadema wana baraka zote za kuchangisha hiyo michango kutoka kwa Msajili wa Vyama ambaye ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa nchini! Anatuambie Rostam sijui ana asilimia 70 ya shares za vodacom, hatuambii hizo asilimia 30 anazo nani! toa shareholding structure yote ya Vodacom tuione tujue kama unachosema ni cha kweli!
Tuonyeshe takwimu za wateja ambao wametuma sms zao za kuchangia na hawakukatwa hela zao! tuonyeshe walikuwa na balance kiasi gani kwenye simu na walipotuma balance ikabaki ile ile! Usituletee namba moja ika represent mamilioni ya wateja wa Vodacom. Hapa tuko watu wazima tusiotaka majungu!

Mkuu umeuliza maswali mengi MIMI SIO KIONGOZI WA CHADEMA KUKUPA HIZO DATA NA MIM SIO MAFANYAKAZI WA VODACOM
KUTOA STRUCTURE YA OWNERSHIP
 
Kumbee. Pole sana RA. Chadema if at all it is true, act quickly to device other means/alternatives!
 
Watanzania tusikate tamaa hawa akina Rostam wanakwao hao, ipo siku watakuja kuukana uraia wao na kurudi kwao, tusimame imara katika kutetea haki zetu, awe slaa, kikwete, lipumba, au mwingine sawa tunachotaka sisi ni mtu mwenye dhamira ya kweli kuijemga nchi kwa kushirikiana na wananchi na si kuweka maslahi yake mbele, kila kitu kinawezekana, what matters is time,
 
hivi hii kampuni haikuuzwa kwa Vodaphone?
anyway tumieni ZAP kutuma pesa chadema kwa urahisi, kama uongozi umeona hili si jungu, wahapie ZAP chap chap
 
Hii propaganda tu, we donot trace calls or sms za mtu awaye yoyote, we are group of proffesionals with ethics, good reputation and not politicians or croocks, kama umetupa sim card yako its your choice but stop spreading lies and your unproven accusation. We are Tanzania's Leading Cellular Network Period:becky:
hata Muhando tido alituambia hivohivo lakini uzalendo ulimshinda alipoona mabwana zake wanaadhirika pale jangwani akaagiza wasitishe matangazo......unaweza ukawa uko sahihi kwako binafsi lakn usijue wenzio wako mlengo gani kama akina Mwamvita....i know its very possible kuprint sms za wateja na hata kurecord simu za wateja au hata kuziredirect sehemu nyingine...mteja anapokea na intruder anapokea na kusikiliza at the same time and even kurecord...wateja, you are not safe on mobiles especially sasa ambapo namba zinajulikana ipi ni ya nani...lakini unaweza pia kutumia line ya mtu ambaye siyo popular and may be emails.
 
Hii propaganda tu, we donot trace calls or sms za mtu awaye yoyote, we are group of proffesionals with ethics, good reputation and not politicians or croocks, kama umetupa sim card yako its your choice but stop spreading lies and your unproven accusation. We are Tanzania's Leading Cellular Network Period:becky:

Hapo kwenye nyekundu
 
hivi hii kampuni haikuuzwa kwa Vodaphone?
anyway tumieni ZAP kutuma pesa chadema kwa urahisi, kama uongozi umeona hili si jungu, wahapie ZAP chap chap
no....waliwapa contract ya kurun kitengo cha marketing au M pesa ila wamiliki ni walewale....kama ni kweli wanafanya huo upuuzi basi wabadharau sana ..wanawadharau watz sana...hiyo kitu hakuna kampuni inaweza kufanya katika mazingira ya kawaida mpaka wameleta dharau kwamba hayana madhara haya matz...no wonder i purposely lost my voda SIM
 
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Sasa wewe na busara zako,unadhani Vodacom wana huruma kiasi hicho?Yaani utoe mchango wako kwa Chadema kisha wao wasiukate kwenye salio lako!

Jamani,kamwe tusizowee mapungufu.NEVER SETTLE FOR LESS,AND NEVER LOOK FOR EXCUSE TO DEFEND THE CARELESS.
 
Jamani active SIM Card ya network yoyote ni tracking device! msiwaonee Vodacom tu! wanaojua telecom engineering wanaweza wakaeleza vizuri how you can track an active subscriber.

Uko sahihi mkuu. Hata kwa kutumia serial number ya handset, achilia mbali SIMCARD wakiamua kukutrack wanakutrack.

Ila ukiwa na line ya Zain unakuwa na advantage ya ziada na unaweza kuwapiga dariz wale wanaotaka kukutrack
 
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Mbona unakuwa na haraka ya kuhukumu wewe?Kwa nini na wewe usifikiri kuwa sababu ya ndugu yetu kuleta hili suala kwenye board ni kwa kuwa hakuna ongezeko la michango kwenye account za wahusika licha ya kuwa watu wamekuwa wanasema wanachangia?
 
Uko sahihi mkuu. Hata kwa kutumia serial number ya handset, achilia mbali SIMCARD wakiamua kukutrack wanakutrack.

Ila ukiwa na line ya Zain unakuwa na advantage ya ziada na unaweza kuwapiga dariz wale wanaotaka kukutrack

Hapo wewe unapiga kampeni
 
Hii propaganda tu, we donot trace calls or sms za mtu awaye yoyote, we are group of proffesionals with ethics, good reputation and not politicians or croocks, kama umetupa sim card yako its your choice but stop spreading lies and your unproven accusation. We are Tanzania's Leading Cellular Network Period:becky:

Sio kweli Mkuu. Nina rafiki yangu ana print out zaidi ya nne za msg za mchumba wake aliyemhisi anacheat. Alienda pale VODACOM makao makuu, ambapo anafahamiana na mtoa huduma mmoja, akamlipa sh 50,000 zikaprintiwa msg za mchumba wake kibao..
 
Kuichangia Chadema kupitia simu za mkononi kunakumbana na kikwazo cha hujuma. Hata Mbowe kwenye mkutano wa uzinduzi pale jangwani alilisema wazi hili. Mimi pia nimeonja adha hii mara kadhaa nilipojaribu kuchangia. Hiyo namba haifanyi kazi.

Lakini sasa kuna suluhisho la kutumia akaunti za benki. Wakihujumu na huko, itakayobakia ni kususa tu.

Kususia nini ndugu yangu? Uchaguzi au Vodacom, kama nilijua vile huwa situmii mtandao wa Vodacom, Tigo pia wameanziasha huduma kama M-pesa labda tujaribu huko jamani, Wapi Zitto?
 
Katika kuelekea October 2010, CCM inatapatapa kumaliza nguvu za chadema kwa umafia wa aina yoyote. kwa sasa CCM wanawatumia VODACOM kuiujumu Chadema.

CHADEMA wanaomba michango kutoka wa wapiga kura wao na watu wenye mapenzi mema na Chadema lakini cha kushangaza VODACOM chini ya RA wanatumika kuujumu

1. Viongozi wengi wa chadema kama ZITTO na VIcent Nyerere na wengine wanaomba wanachama na wapenzi wawachangia kupitia M-PESA lakini VODACOM wanaBLOCK michango isiingie kwenye account zao za M PESA.

2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa

3. TUNAJUA VODACOM ni CCM, sasa hivi wametoa mabango yao yote barabarani wamewapa CCM waweke matangazo yao

MY TAKE

1. Hii ujuma inayofanywa na VODACOM mwisho wenu unakaribia

Hizo nI maadili mema na kampeni za kistaarabu za CCM!
 
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.

Hizi ni transaction za account za simu kwa pesa uliyonayo kampuni ya simu haiwezi kukulipia kwa namna yo yote. Kwa hili nadhani unakiri ulikuwa unafahamu mchezo huu. It is unethical kuingilia mawasiliano halali kama hayo mbaya zaidi kisiasa
 
Back
Top Bottom