VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Aug 31, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Katika kuelekea October 2010, CCM inatapatapa kumaliza nguvu za chadema kwa umafia wa aina yoyote. kwa sasa CCM wanawatumia VODACOM kuiujumu Chadema.

  CHADEMA wanaomba michango kutoka wa wapiga kura wao na watu wenye mapenzi mema na Chadema lakini cha kushangaza VODACOM chini ya RA wanatumika kuujumu

  1. Viongozi wengi wa chadema kama ZITTO na VIcent Nyerere na wengine wanaomba wanachama na wapenzi wawachangia kupitia M-PESA lakini VODACOM wanaBLOCK michango isiingie kwenye account zao za M PESA.

  2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa

  3. TUNAJUA VODACOM ni CCM, sasa hivi wametoa mabango yao yote barabarani wamewapa CCM waweke matangazo yao


  MY TAKE

  1. Hii ujuma inayofanywa na VODACOM mwisho wenu unakaribia
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,449
  Likes Received: 22,369
  Trophy Points: 280
  Rostam azizi yuko kazini.
  Muichangie chadema ili nini kiwe nini/
  slaa aingie madarakani halafu rostam akaozee jela?
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo basi wabadiri njia......watumie benk au wapeleke CASH na kupewa risiti kwenye maofisi yao
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ROSTAM azizi owns more than 70% shares of vodacom tanzania japo sometimes anafanya kwa kificho so kwa fisadi kama huyu akishirikiana na vibaraka kama mwanvita marope unategemea nini?
   
 5. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makampuni ya huduma za simu yanajihusisha na siasa yanatakiwa kufungiwa kufanya biashara. Slaa akiingia madarakani huyu RA atakuwa wa kwanza kutoroka nchi hii na ubunge wake kwani madhambi na wizi wa rasimali zetu anayotufanyia yana mwisho
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
  Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
  Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.
   
 7. e

  emalau JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  aisee ?
   
 8. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baada ya kusikia nimetupa sim card yangu ya vodacom, sasa ndugu angu nitafuteni kwenye tigo , zantel na zain.
   
 9. e

  emalau JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Inajulikana kwamba Rostam Aziz is one of the biggest shareholder so that was deemed to be the case.
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivyo ipo haja ya wapenzi wote wa Chadema wajitoe kwenye huu mtanadao wa vodacom kwani mitanadao ipo mingi tu.KUMBE KUWA VODACOM NI KUMNEEMESHA FISADI RA?
   
 11. S

  Seekype Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh this is tight...Kazi ipo

  Demokrasia ya kweli itakua vigumu sana kupatikana kwa mwendo Huu..

  We need more poeple like SLAA
   
 12. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mimi nashauri Chadema itangaze kuwa kuanzia leo wanachama wake wajiondoe Vodacom.Wanakaribishwa Zain,Tigo na Zantel.Huduma za kuchangia zipo pia.:smile-big:
   
 13. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja hii nina mashaka nayo, kwani ni mara ngapi unatuma msg na inakwambia msg failure lakini hela imekatwa???

  ...na ukituma tena bado unapata same msg na hela kukatwa na unaemtumia anakuwa anapata msg hiyo mara nyingi...kwanini tusiwe wadadisi kwa kuuliza VodaCom kuna tatizo gani kabla ya kuconclude coz mambo ya technology lolote laweza kutokea...je ni watu wangapi wamepata tatizo hilo? yawezekana ni peke yako au ni watu wachache na yawezekana ni kwa muda fulani..rai yangu kwa mtoa hoja ni kuchunguza kwanza na kutoa malalamiko kwao (VodaCom) na TCRA kama kweli wameblock hiyo namba

  ...na wadau wengine inabidi kuchunguza hili kama lina ukweli kuliko kuamua kwa ushabiki au jazba kwani maamuzi hayo yanaweza yasiwe na tija kwani maamuzi yote yafanywayo wakati wa hasira huleta hasara kwani akili huwa haijatulia...chonde chonde uchunguzi ufanyike kwani wengi wangeweza kuchangia ila ukishasema namba wameiblock unaweza kuwakosesha michango walengwa kwani inawezekana isiwe kweli au ikawa ni matatizo yalitokea yamerekebishwa na kwakuwa waTZ ni wavivu kufatilia vitu basi wataacha kuchangia coz walisikia namba iko blocked
  .
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama huamini subulia viongozi wa chadema(kama watakuja) watakupa majibu jinsi namba zinavyoujumiwa

  Namba hiyo inaweza kuwa blocked kwa muda fulani isiingize hela then wanafungua
   
 15. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ufisadi mkubwa huu..lakini mwaka huu tunao mpaka wakonde na wenye kisukari kizidi kupand..na msishangae wengine wakajipiga risasi baada ya kusikia Slaa kaingia Ikulu
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  huwezi kupeleka bank tzs 350 hata kama ni 5000 kuna watu kufika sehemu ambayo kuna bank siyo rahisi bado bank zetu zina huduma bovu hii ya simu ilikuwa rahisi hata kama malala hoi angeweza kuchangia mwenye mia 350 anaweza kuchangia tafauti na bank ambayo kimo cha chini TZS 5000 ku-deposit
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa hukujui.....
   
 18. I

  IGNACE Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siasa siku zote ni mchezo mchafu, hakuna anaependa kupoteza kitumbua, hamuoni malecela na uzee wake anadai kahujumiwa?
   
 19. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Zitto na Vincent Nyerere na Viongozi wengine wa Chadema kwa ujumla, tuthibitishienei hii hujuma ni kweli, once you have done that, then Am done with VODACOM, kweli natupilia mbali ki sim card changu!
   
 20. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Kuichangia Chadema kupitia simu za mkononi kunakumbana na kikwazo cha hujuma. Hata Mbowe kwenye mkutano wa uzinduzi pale jangwani alilisema wazi hili. Mimi pia nimeonja adha hii mara kadhaa nilipojaribu kuchangia. Hiyo namba haifanyi kazi.

  Lakini sasa kuna suluhisho la kutumia akaunti za benki. Wakihujumu na huko, itakayobakia ni kususa tu.
   
Loading...