Vodacom wamenitumia ujumbe kuwa "Tozo Imefutwa"

Screenshot_20230701_114816_Messages.jpg

Kuna mtu nimetumia 15k asubuhi hii bila Tozo.

Hopefully Serikali itakuwa imehamisha Tozo hizo kwenda kwenye huduma nyingine
 
Ndio sms niliyotumiwa leo na Mpesa kuwa "Tozo imefutwa"
Hatutakiwi kupongeza uamuzi huu.
Waturudishie hela zetu walizochukua kwa miaka miwili kinguvu.
Wamehamishia kwenye vifaa vya ujenzi mkuu...
Mafuta...
Maumivu yako palepale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom