Vodacom wamenipora 50,000

Vodacom wamenipora 50,000

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
959
Vodacom Tanzania WAMENIPORA elfu hamsini kama mchezo. Huu mtandao hakika ni majizi walioshindikana.

Nina zaidi ya mwezi sijapokea wala kuweka Mpesa. Nimeshangaa ghafla napata meseji eti TRANSACTION REVERSED. Nikadhani utani, kucheki account yangu wamekomba 50,000.

Vodacom ni kwamba hizo fedha mnazodai kuwapa watu mamilioni ndio mnaziiba kwetu? Hata kama mnawahonga TCRA hii nawafikisha mbali.

==========

Majibu kutoka Vodacom Tanzania

Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Kama upo dar wafuate makao makuu yao wakurudishie pesa yako,huo ni wizi wa kishamba sana,au wapigie simu kama upo mbali wakurudishie pesa zako wakigoma wapeleke mahakamani ukadai na fidia na usumbufu wote na n.k mil 15
 
Mimi walikomba 250000 hivyo hivyo watakuambia ooh siju crdb wanakudai na bla bla kibao.Niliwashukia kwa MD wao wakarejesha wapigie 0754710688 direct maana customer care watakuzingua tuu
 
VODACOM WAMENIPORA elfu hamsini kama mchezo. Huu mtandao hakika ni majizi walioshindikana.
Nina zaidi ya mwezi sijapokea wala kuweka Mpesa. Nimeshangaa ghafla napata meseji eti TRANSACTION REVERSED. Nikadhani utani, kucheki account yangu wamekomba 50,000.
Vodacom ni kwamba hizo fedha mnazodai kuwapa watu mamilioni ndio mnaziiba kwetu? Hata kama mnawahonga TCRA hii nawafikisha mbali.
Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Watanzania hatuna budi kubadilika.
 
Vodacom Tanzania, Kwanini msiwe mnamuuliza mteja kama kweli kuna complain hiyo? Sisi watu wamijini tuliosoma tunaweza fuatilia. Je, mtu wa kijijini ambaye hata kusoma hiyo transaction reversed itakuaje?

Bora kusikiliza pande zote mbili maana mimi nimewakabidhi vodacom pesa,anakuja mtu baki anawaambia nyie mnachomoa pesa zangu bila kujua ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Mimi walikomba 250000 hivyo hivyo watakuambia ooh siju crdb wanakudai na bla bla kibao.Niliwashukia kwa MD wao wakarejesha wapigie 0754710688 direct maana customer care watakuzingua tuu
Thanks mkuu.
 
Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Huu wizi mtaacha lini nyie?? na hizi 1000 au mia tano zinazobaki kwenye simu kwenye simu kama salio mnazikwapua kila siku alafu tukipiwapigia simu mnasingizia intenet!!! nokia tochi inatumia intenet?? acheni wizi bana:A S embarassed::A S embarassed::bump2:
 
Nilikuwa na Airtime nyingi tu kifurushi cha data kilivyoisha hawakutuma msg ya notification mpaka salio langu lilipoliwa kesho yake ndio ki msg kinaingia..damn!
 
Huu wizi mtaacha lini nyie?? na hizi 1000 au mia tano zinazobaki kwenye simu kwenye simu kama salio mnazikwapua kila siku alafu tukipiwapigia simu mnasingizia intenet!!! nokia tochi inatumia intenet?? acheni wizi bana:A S embarassed::A S embarassed::bump2:

waliwahi nimomba 1700 nikapiga kuna kidada moja ivi kikapokea eti ooo imekatwa kwa matumizi ya internet wakati huo nlikuwa na mb 180. nikampiga maswali anajiumauma tu eti ooh umedownload file kubwa wakati sijadownload. maajabu sasa wanakata salio na mb zipo nikaona isiwe shida nikamtukana na kumpa makavu live baadae wakanipigia eti oooh mtandao ulikata kimakosa bt walinirudishia mkuu
 
Ina maana ungekaa kimya ndio ingekua imekula kwako mkuu... shida si kurudisha shida ni kwamba huu wizi kwanini wanatufanyia???
 
Mm hata siwashangai Voda washawahi kunibebea 20,000 yangu, nilinunua umeme wa luku wakabeba hela lakini hawakunirushia TOKEN.Siku hizi line yao natumia kama urembo.
 
Hivi bado mnatumia huu mtandao Wa kipumbavu????????
Waliniibia laki yangu nkawadai wakanipa na line nkaichoma moto shenzi sana Hawa jamaa.....wezi sana usipowadai imekula kwako
 
Ina maana ungekaa kimya ndio ingekua imekula kwako mkuu... shida si kurudisha shida ni kwamba huu wizi kwanini wanatufanyia???

nisingepiga mkwara ingepotea mkuu. apo ndo sielewi why wamekuwa wezi au ndo jay 100 kama sio hela za vitenge
 
Habari, kama ulitumiwa pesa hiyo na mteja mwingine ana haki ya kurudishiwa pesa yake endapo ataripoti kuomba kurudishiwa. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.

Hata mimi ninamalalamiko na voda na nileishapiga simu lkn hakuwa msaada wowote walionipatia zaidi ya kunizungusha tu..ni hivi, mimi no wakala wa mpesa sasa huwa kuna kamisheni zinatoka kila mwisho wa mwezi lkn cha kushangaza walituma kamishen ktk 2nd na mm kuihamishia kwenye akaunt ya kazi fedha hiyo haijafika mpaka leo hii na nikiwapigia cm wala ooh..wasiliana na wakala mkuu na nikimpigia wakala ananambia ntakupigia baadae yani imekuwa ni kama nawakera vile..sasa uamzi niliofikia ni kupata msaada wa kisheria ili niweze kuwafungulia mashtaka maana walicho kifanya ni wizi mtupu..
 
hawa jamaa ki ukweli wanazingua,na hii yote ni mafisadi kuweka nchi mfukoni
 
Back
Top Bottom