VODACOM Wamefunguka tena kama kawaida yao.

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Cheka Bombastik Mpya! Pata Dak 40 kupiga simu mitandao yote TZ, SMS bila kikomo na MB 250 za Intaneti kwa masaa 48 kwa Tsh.900 tu, Kujiunga piga *147*900# sasa.

Kazi ni kwenu.
 
Hawa wezi sina hamu nao. wananikwangulia salio vibaya japo najiunga na huu upuuzi wao.

Ukipiga customer services unapoteza muda wako bure tu.
 
haitakiwa kuacha salio umapojiunga na kifurushi fulani.ukiwachia salio wanakula haraka kifurushi then wanavamia salio wanavyagia lote.
 
Mkuu, huenda kuna huduma umejiunga na umesahau kuwa utakuwa unakatwa hela,mfano caller tune,news etc,hizi huduma mnajiunga nazo halafu mnasahau kujitoa kwahiyo network ikiona kuna hela inazubaa na unadaiwa katika hizo huduma lazima itakatwa, bali hawawezi kukukata hivi hivi tu.
 
Mwingine ana simu S3/S4 anajiunga na kifurushi cha 25/50MB
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mwingine ana simu S3/S4 anajiunga na kifurushi cha 25/50MB

HAhaaa mkuu! ! Ustake ncheke, simu kali ina MB 25 za jero! ! Hii ndo bongo bhana! Na itakuta very busy yani facebook
 
Mkuu, huenda kuna huduma umejiunga na umesahau kuwa utakuwa unakatwa hela,mfano caller tune,news etc,hizi huduma mnajiunga nazo halafu mnasahau kujitoa kwahiyo network ikiona kuna hela inazubaa na unadaiwa katika hizo huduma lazima itakatwa, bali hawawezi kukukata hivi hivi tu.

...Mkuu, wakati Mwingine hawa ni Wahuni tu! Sijawahi kutumia Huduma nyingine yoyote zaidi ya ile ya Wajanja Night lakini Jana na Juzi wamenikwangulia shs Mia Tatu zangu kwa kuniletea eti breaking News ya gazeti la Mwananchi na wakati suijapata kuomba! Wakuu, kuna mwingine ambaye amefanyiwa hivyo kati ya Juzi na Jana Usiku ili tujue kwamba wanaseti tu mitambo yao ili kukwangua salio la wateja kwa Hufuma Wasizoomba?? Fikiria wakifanya hivyo mara mbili kwa simu zote za Watena wao...!

Mkuu, pole sana, ila upande wangu sijapata bahatimbaya kama hii.

Nyie mnaolalamika.....c bure, Cm zenu zina matatizo...mbona voda hawanaga matatizo na mtu!
 
Waambie
Wengine wana smart phone ambazo zina running apps na wadai ni voda,kutokujua matumizi ya simu.
 
HAhaaa mkuu! ! Ustake ncheke, simu kali ina MB 25 za jero! ! Hii ndo bongo bhana! Na itakuta very busy yani facebook
Sizinga

Umeona hii BIS ya 500 ? Tena Unlimited, Bongo sooooooooooooooo!!
1265x300_bb_social_97dbedb5b1e105d83eb9d7632a1e028f.jpg
 
Waambie Wengine wana smart phone ambazo zina running apps na wadai ni voda,kutokujua matumizi ya simu.
Mkuu sio siri vodacom wamenikosha mpaka napata mori wa kukamata smartphon ili nifaid hzo 250MB Kihalali maana kwa sasa siztumii kabisa kwan simu niliyonayo iko slow sanaaaa!VODACOM IDUMU DAIMA
 
Mkuu, huenda kuna huduma umejiunga na umesahau kuwa utakuwa unakatwa hela,mfano caller tune,news etc,hizi huduma mnajiunga nazo halafu mnasahau kujitoa kwahiyo network ikiona kuna hela inazubaa na unadaiwa katika hizo huduma lazima itakatwa, bali hawawezi kukukata hivi hivi tu.
hiyo caller tune unatoaje?
 
Hizi mb watu wa buku saba watafaidi sana wananunua kifurushi 500 then wanapost post moja then wanapewa buku7
 
Back
Top Bottom