VODACOM Wamefunguka tena kama kawaida yao.

VODACOM Wamefunguka tena kama kawaida yao.

Umetumia sek 127,umelipia kiasi cha 0..Salio lako ni Sh 0.00. Penzi lako linayumba?Tuma MAHUSIANO kwenda 15433 upate dondoo za kuboresha mahusiano yako. Sh 150/dondoo
 
nyie ni mawakala wao nini? Mbona mnawasifia hao VODA wenu? Ingawa natumia net yao hapa lakini hakuna kitu kabisa.
 
nyie ni mawakala wao nini? Mbona mnawasifia hao VODA wenu? Ingawa natumia net yao hapa lakini hakuna kitu kabisa.
Mkuu kwa taarifa ya bure kabsa.... ni kwamba kwa swala la internet voda ndo wanaongoza hapa tz labda kama uko misimihalo mabonden
 
HAhaaa mkuu! ! Ustake ncheke, simu kali ina MB 25 za jero! ! Hii ndo bongo bhana! Na itakuta very busy yani facebook

Mkuu kweli mtandao umelemewa wakati mwingine unapiga mtu hakusikii
 
Back
Top Bottom