Nadhani swali la kujua zaidi ni kama wajanja night kweli ni unlimited na kama sio unapewa gb ngapi na speed yake ni kiasi gani, I tried it once ila speed yake duh ningeitaji kama mwezi mzima kumaliza kushusha movie moja (by the time ninamaliza usiku ushaisha)