Vodacom voucher generator

Vodacom voucher generator

wafanya kazi wa voda wataiona sasa!
 
Upuuzi mtupu, but guyz watch out kuna target ya watu kutapeliwa through it
 
Mnawaza kuiba tu kama viongozi wenu wa nchi... wafuasi kama viongozi wao lao moja uwizi tu
 
shiny c watu hawataamini mpaka waone kwanza na wakishaona..........!!! kazi ni kwako
 
Last edited by a moderator:
Mambo haya ya kuchakachua yananikumbusha mbali pale UDSM wanafunzi wa Statistics walikuwa wanachakachua sana vocha za Celtel kipindi hicho kwa kuwa walikuwa wanatengeneza vocha kwa kutumia very simple Probability distributions so kwa mtu anayejua vizuri probability distribution ilikuwa ukinunua tu vocha 3 unaweza kupredict vocha zote zinazofuata katika bundle ile.
 
mkuu shiny c mwenyewe nmeona umefanya uamuzi sahihi kuibana tusidownload mana wengi tutakamatwa just imagine mtu katoa pesa zake mfukon kununua vocha af cm inamwambia vocha imeshatumiwa na namba flani what will happen next? Segereaaaaaaa gerezan
 
hacha uoga kaka!!!
kwanza nakumbuka wewe ndo ulikuwa unaongoza kulia lia "msaada msaada" enzi zile za proxy
 
hapo ndo penye shda ndug,,,,, angalia new user ndo watata
 
Naona jamaa kajitengenezea dude la kujifurahisha tu.
Wale wa dezo dezo endeleeni kusubilia hiyo kitu mpaka miguu iote matende.
 
Back
Top Bottom