Vodacom voucher generator

Vodacom voucher generator

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
NI SOFTWARE YA KIZUSHI TU IME EDITIWA KWENYE VISUAL BASIC NAONA WATU WENGI MLIFIKIRI INAPIGA MZIGO NA MMENIPM GUYS ITS JUST A PRANK POLENI KWA KUWARUSHA ROHO JUU
CHAMA.jpg

VIDEO HII HAPA CHAKACHUA VOCHA EXTREME - YouTube

BUT ITS POSSIBLE UKIWA NA SOFTWARE YA PROBABILTY

ONYO: WIZI MBAYA MSIJARIBU
 
ukifanikiwa nitakuita JASUSI, ila wenyewe watakusaka hadi chini ya uvungu wa kitanda chako.
 
ukifanikiwa nitakuita JASUSI, ila wenyewe watakusaka hadi chini ya uvungu wa kitanda chako.

Aaah,wapi!
Alitakiwa kumaliza kuafanya hiyo deep analysis kwanza ndo aje hapa na kitu complete.Lakini hivi... tayari kaishaharibu,kufikia jioni watakuwa wameishachange plan.

Anyway,mi namtakia kazi njema.
 
hehe mkuu naona umeanza kusoma visual basics.. aya bana we mkaree lol! interface tayari sasa swali ni kwamba how can you code it to function? Au unataka kuwarusha watu roho tu?
 
Hayo ni mauongo tu. Mbona versions za nyuma hatujazisikia hadi kufikia hiyo v.10 mhm labda!
 
Haya kamanda tunasubiri kuona huo uchawi mweusi but sidhani kama tutafika maana bila shaka wahusika wapo humu wanasubiri kuzima huo moto kabla haujaleta madhara kawao
 
napenda kuipost ila nikianza kufikiria careless people ndo nakatwa tamaa
 
Back
Top Bottom