Ukiingia kwenyw menu angalia vifuruahi vya kimataifa. Utaona afrika mashariki na nchi nyingine . Vifurushi vipo kwa bei tifauti. Ukujiunga kifurushi cha Afrika mashariki hutiweza kupiga china au nje ya EA. Hivyo nakushauri ukitaka kuwasilian nje angalia vifurushi vya kimataifa usijiunge vifurushi vya ndani kisha ukataka kuwasiluana kimataifa