Vodacom usiku pack

Vodacom usiku pack

mkuu unamaliza kwa usiku mmoja au? Maana mimi nilikuwa naweka bando la chuo la mwezi yaani 4GB tu sikuwahi kuzimaliza kutokana na spidi kuwa mbaya. Ila nikaenda kutest voda kuswap line ili nipate zile GB4 za 4G nikazimaliza faster licha ya kuwa natumia simu ya 3G
yap usiku mmoja, cha muhimu angalia speed ya eneo lako. hakuna mtandao Tanzania ambao una speed maeneo yote. na si Tz tu Dunia nzima ndio ilivyo.
 
dah nilijua ni mm tu kumbe wengi airtel inawazingua
 
Back
Top Bottom