Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Unlimited sio unlimited kweli !
Tatizo wabongo tunaangalia volume base !
Na Bandwidth tutazidi kubaniwa !

Ila nadhani kuna opp zina speed yakuridhisha ! Ishu ni kuzifind !
 
Unlimited sio unlimited kweli !
Tatizo wabongo tunaangalia volume base !
Na Bandwidth tutazidi kubaniwa !

Ila nadhani kuna opp zina speed yakuridhisha ! Ishu ni kuzifind !


Hii inakwamisha mambo mengi sana kwa watu wanaopenda kubrowse na kupakua Downloads. Lakini Vodacom bado wanajitahidi sana kuridhisha customers linapokuja suala la mtandao wa internet
 
hawa dawa yao moja kama book ni 1gb afu speed inashuka watalijua jiji tutabamiza firewalls zao lazima zitoboke tu shauri lao...

Asante sana vodacom
jama wanashusha speed hadi 30-50KBS mara tu umalizapo zile 1gb so hakuna ujanja ujanja yakhe
 
ahaa me nishachoka acha niwaache nyie na hao voda wenu maana cku hizi hawana dili,me huku natiririka na TG yangu...
 
ahaa me nishachoka acha niwaache nyie na hao voda wenu maana cku hizi hawana dili,me huku natiririka na TG yangu...

Tigo ukipata 500KBps mpaka 1MB/s ni kwa bahati sana na mimi bila 1MB/sec bora niachane na kudownload yaani hainipi munkali kabisa
 
mlioko town mnaenjoy sana huku vijijini mtandao mbovu sana, unaandika EDGE hata ufanyaje uwezi download movie au kutazama video youtube...wakuu naomba kama kuna jinsi ya kuongeza spidi mnijuze nataabika na mtandao sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…