Vodacom Unlimited Data bundle for 1000/= Tshs.

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,219
1,786
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.
 
nimejiunga nikapata 1g at full speed then ikiisha unapata speed ndogo
 
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.

Voda kuna kitu kimewashitua na kuamua kurejea upya viwango vyao vya internet. Na hii kwa kiasi fulani itakidhi mahitaji kwenye simu zetu.
 
Ngoja Nilijaribu leo hii nione Maana kuna Movie kibao nataka download.

Kama kweli ni unlimited
 
Voda kuna kitu kimewashitua na kuamua kurejea upya viwango vyao vya internet. Na hii kwa kiasi fulani itakidhi mahitaji kwenye simu zetu.

Ni kweli mkuu, maana Voda walijipatia wateja wengi sana walikuwa wanakaa usiku kutumia unlimited ya Wajanja Night...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…