VodaCom tusaidieni kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VodaCom tusaidieni kwa hili.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Slave, Jul 29, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hellow VodaCom team kunatatizo kwetu sisi watumiaji subscriber identity module or subscriber identification module ( SIM ) pale zinapopotea,kuibiwa ama kuharibika,inapotokea hivyo basi huwa tunapata hasara kubwa sana ya kupoteza contact za watu wetu muhimu WAZO LANGU kwa kuwa SIM CARD zetu zinakuwa na umuhimu pale tunapokuwa tuna wasiliana kuptia namba zilizomo ndani ya sim card basi ningependa muwaambie wataalamu wenu wa program waweke namna ambayo mtu sim yake ikipatwa na tatizo basi anapo kuja kufanya swap kila kitu muhimu kirudi kama kilivyokuwa 1.namba yake na watu wake 2.salio 3.msg na kila kitu.
   
 2. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kaka salio huwa linakuwepo... Then kuhusu kontact ukipata netqin antivirus unaweza kufanya contacts back up unapata contacts zako zote kila ukibadili simu... Kwenye cmu za kawaida unaweza kucreate back up ya kawaida kwenye memory card yako.... Na ukitaka usumbufu usiwepo save data on phon not on sim card
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Yap...ila inasimu zake za kichina ney..ni...Nokia Samsung,BlackBerry...Android phones
   
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kutumia ya kichina ni ujingaaa
   
 5. rickymj

  rickymj Senior Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapana huwez jua kipato cha m2 arif.
   
 6. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mie binafsi naweza ku hifadhi contact kwa namna yoyote hata kwa kuziweka katika cd lakini vp kwa wale wanaotumia nokia 1100? Vipi phone ikiibiwa pamoja na sim card? Je kama wanaweza kuhifadhi majina ya wateja wao kwanini wasihifadhi na namba za jamaa za wateja wao? Mie naamini namba za watu wote wanazo ndio maana unapofanya sim swap lazima wakuombe namba za watu watano ukikosea kutaja hata namba moja wanakuambia hiyo namba sio. Sasa kama namba wanazo si wangekuwa wanawasaidia wateja wao kuwafanyia backup
  ?
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hata kwenye OVI inawezekana ....ni wewe...kuwa na simu yenye uwezo wa networkmean internet
   
 8. rickymj

  rickymj Senior Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuwa namba za wa2 wote co shida ila huwa wanauliza namba unazopiga frequently maana kausha uliza data plan wanaweza wakakupa jnc ulivyo2mia masaa 24 yaliyopita na namba ulizopg ila khs kustore namba za kila mTZ ili sim ukiswap upate baq ua contactz ni baadae saana.
   
Loading...