Vodacom, Tigo na Tala ifike wakati tuheshimiane

Ukikopa tala wanadai vibayaa hao rafiki yangu mpaka ametupa laini

Walikuwa wanamtisha hatar mm mbavu sinaa maana namjua hata akikukopa sahau kulipwa sasa amekutana na wazee wa kudai TalaHana rahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimecheka mnooo kwa hii komenti yako. Unajua nini? Mimi Jana kuna rafikiangu kaniletea habari za tala eti kakopa huko kama laki hivi sasa anampango Wa kubadili laini. :D :D :D

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nawe hujaelewa mada haihusikani na kulipia jf. Kwanini tangazo kila sekunde mbona instagram huo ujinga haupo. Kwanza mb zetu ni gharama kubwa bado na huo usumbufu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anamaanisha kama hautaki matangazo kwenye app unazotumia basi itakubidi ulipie hiyo application

(Naanza kuhisi watu wengi hawajui maana ya app) maana utakuta mtu anasema hana app kwa simu yake lakini ana WhatsApp, insta, jamiiforums, bible n.k

Kuna app nyingine wanakuuliza kabisa kama hautaki matangazo unachagua kulipia hata whatsapp siku hizi wameanza kuweka matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kutochosha sasa kila siku bora Yale mengine ni option u click sio kila sekunde ndo kero yangu hyo
Yaani anamaanisha kama hautaki matangazo kwenye app unazotumia basi itakubidi ulipie hiyo application

(Naanza kuhisi watu wengi hawajui maana ya app) maana utakuta mtu anasema hana app kwa simu yake lakini ana WhatsApp, insta, jamiiforums, bible n.k

Kuna app nyingine wanakuuliza kabisa kama hautaki matangazo unachagua kulipia hata whatsapp siku hizi wameanza kuweka matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaboa sana kwa kweli

Mi nilijua tatizo ni hii tecno ninayotumia kumbe tatizo ni mitandao

Hata hivyo nimeapa sitotumia tena simu aina ya tecno zinaushenzi mwingi

Tala wanaboa kuna wakati nazima bando kwa ajili ya usumbufu wao

Kila file unalofungua lzm kwanza wakuoneshe ujinga wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno app zako nyingi zinasupport matangazo mpaka kero ila njia moja zizime app zao na unstall app zinazokubali matangazo kwisha na usitumie boom play

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm pia TatuMzuka, Boompesa, Biko na wengine design hii wanahangaika kuniita mata jembe letu , mara tajiri mtarajiwa .... sms kibao kutaka kuniibia vijicent vyangu . hahahahaaaaa
 
Kama wanakukera sana kopa alafu usilipe ndio utaona kero tam zaid 😅😅😅
 
Mbona Mimi sipati hilo tangazo acha kudownload kila apps.Halafu hiyo line ya simu si yako wewe ni mtumiaji tu na kusajiliwa nayo bado ni Mali yao na watafanya lolote kwenye line yao.
 
Back
Top Bottom