Mkuu nimecheka mnooo kwa hii komenti yako. Unajua nini? Mimi Jana kuna rafikiangu kaniletea habari za tala eti kakopa huko kama laki hivi sasa anampango Wa kubadili laini.Ukikopa tala wanadai vibayaa hao rafiki yangu mpaka ametupa laini
Walikuwa wanamtisha hatar mm mbavu sinaa maana namjua hata akikukopa sahau kulipwa sasa amekutana na wazee wa kudai TalaHana rahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app