hawa jamaa ni wezi sana jumapili nilinunua airtime 500 via nmb mobile,nikaletewa ujumbe kabisa nimepokea sh 500 kutoka nmb ile najiunga na cheka zogo naambiwa sina salio,j4 nime weka buku nimejiunga na kifurush cha jelo cha ajabu jelo ilobaki ikaliwa from no where, jana nime kopa nipige tafu ya 900 ile najiunga na cheka bombastik naambiwa sina salio na ile salio walilo nikopesha likapotea kusiko julikana,piga customer care simu inaita tu bila kupokelewa...kuanzia jana nime iteketeza na sina mpango nao hawa wahuni wa vodacom majizi makubwa kama ccm.
Nani katukana hapo? Hoja zote zilizowekwa hapo juu zina mashiko,usijone bora kuliko wenzako acha dharau kwa wenzako.Nahisi siku hizi humu watoto wamekuwa wengi sasa kama vodacom wenyewe wapo humu kujibu hoja bado mnaendelea kutukana maana yake ni nini??
Weka hoja yako vizuri wao wanajibu sasa kama matusi tuuu watajibu nn??
Kuna vitu vingi vya kujifunza mfano me nilikuwa nimejiunga na nyimbo kama nane hivi nikisikia kwa rafiki yangu nabonyeza nyota kumbe zote nalipia nikawa nakatwa hela kwenda vodashop zao wakanisaidia kuziondoa zote
Tujifunzeeeeeee sio matusiiiiiii
Hakika nakubaliana
nawewe mitandao yote majanga hakuna wenye nafuu hata mmoja si tigo wala
zantel au airtel na yote hii nikutokana na udhaifu wa serikali ya
ccm.
Mkuu hilo limenikuta.
Nilijiunga Cheka Zogo ya 495 huku niliweka 1000. Kucheki salio
lililobaki ni 0. Nilikasirika sana. Vodacom wanakera sana. Wako weak
sana. Najiandaa kuachana nao ama kama vip ibaki kwaajili ya kupokea
tu.
Hamia Airtel.
Mkuu nipo Airtel tangu
2005 wakati huo Celtel ya kwanza then ya pili then Zain mpaka sasa. Hata
namba sijabadili mpaka leo.
Hata tigo the same! kila siku wanareduce min kabang zao nadhan gharama za sim zimepanda