Umeibiwa kiasi gani? Maana kwa hizo namba zako hapo juu, ni kama vile salio limeongezeka kwa sh 4.99. Au kuna kitu sijaelewa?.... nimeweka kiasi cha tsh 3500 nimejiunga bundle ya 3499 ya wiki ili nipate dk60 na mb200 chakushangaza napata ujumbe.
Salio langu halitoshi kujiunga....nikicheki salio *102# naona nina 3504.99 sasa nauliza inakuwaje nyie vodacom....
Wamekuwa wakiiba hela kwenye account yangu, mfano jana sh. 500 ikapotea bila sababu.
Leo tena sh. 132 sijui imeenda wapi? Mnatia aibu sana vodacom.
Kuna thread nyingi sana humu, zikiwalalamikia voda lakini mbona hamjirekebishi?? Angrrrrrrr....
Alafu mnakera sana nyie,meseji unatuma leo inafika kesho..kama hamuwezi kutoa huduma bora muache tujue hampo kabisa...
Pengine kungekua na utaratibu wa kuwatoza faini kutokana na usumbufu mngeshika adabu na kujua nini mnakifanya.

Sasa wewe jitie wa.zimu uhamie AIRTEL utajuta kununua simu. jitahidi ubaki VODACOM au sana sana hamia mtandao wa matuc yaani. 0713. huku spidi iko nyuma ya VODACOM ila usihamie airtel hata iweje.
nimewahi kuweka 10,000 usiku kama saa 3 hivi ili asubuhi nijiunge bando, sikupiga wala kutuma sms hata moja. Asubuhi naambiwa ten yangu imeisha. Nikaamua sitaki tena mambo ya voda zaidi sana napokea simu tuVoda wanakera sana aisee, tena ni wizi wa wazi wazi, jana usiku nimeweka salio la 2000, then nikaactivate bandle ya 500tsh ya 200 MB, hata kufungua google ilichukua zaidi ya nusu saa. Baada ya kutuma mail nikatoa modem, naangalia salio nakutana na sh 0, na bandle nayo ni 0...f*ck.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari Platnam, tafadhali tutumie taarifa zifuatazo PM kwa msaada zaidi.
Namba ya mtumaji
Namba ya mpokeaji
Muda ujumbe uliotumwa
Habari Kisendi, tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi tafadhali.Leo asbh nimeweka kiasi cha tsh 3500 nimejiunga bundle ya 3499 ya wiki ili nipate dk60 na mb200 chakushangaza napata ujumbe.
Salio langu halitoshi kujiunga....nikicheki salio *102# naona nina 3504.99 sasa nauliza inakuwaje nyie vodacom...
KUANZIA LEO NAHAMA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA NAHAMIA KULE TIGO MINI KABANG SITANUNUNUA TENA VODA YENU.
TCRA MNAFANYA KAZI GANI JAMANI...JUZI NAPO WAMENIIBIA 500 SIJAPIGA WALA KUPOKEA WALA KUTUMA UJUMBE NA SIMU YANGU SIO SMARTPHONE.
afu we mr/miss voda tunaomba mrudishe vifurushi vya internet km mwanzoa nawahama kuanzia ijumaa.
Habari Crimea tafadhali wasiliana nasi PM kwa msaada zaidi. Hakuna pesa ya mteja inayoibwa ndugu mteja. Ahsante
Kwa wiki nzima nimekuwa nikinunua vifurushi vya Cheka bombastiki lakini Hii imezidi.
Jana nimenunu Kifurushi cha kutosha na sina matumizi ya kukimaliza hata Kwa Siku tano.
Hongera!Umenunua Dakika 400 za kupiga mitandao yote,SMS 1500 mitandao yote TZ na 1024MB zitumike hadi 2014-08-10.Piga *147# kujua salio.
Na Leo mchana wananitumia kwamba kimekwisha.
Ndugu mteja, kifurushi chako cha Cheka kimekwisha. Furahia dk 30 kwa Tsh.495 tu saa 24.Kununua piga *149*01# na chagua Cheka Zogo.
Nimempigia customer care akajitambulisha Kwa jima La Ally hakuwa na msaada wa aina yoyote..
Goodbye Vodacom.

Tutumie namba ya simu na tuambie lini ulipata tatizo hili. Ahsante
Habari Kisendi, tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi tafadhali.
Mhhh!!!! nilizani ni mimi tu, kumbe wengi basi hii ndiyo utaratibu wao tutauzoea tu.
Ndio wawekezaji wetu hao
tunachangisha pesa za kampeni
Samahani @Vodacom CS Support, nilikusanya hizi comments nikuite utoe maelezo ila nikagundua kwamba umeshajibu.Kwani hamuwajui wenye hisa kwenye hiyo kampuni?
Kumbukeni mwakani tunahitaji viongozi wapya na ni lazima kutumia gharama ili tupate ushindi wa kishindo.